Ndugu zangu naomba yeyote mwenye uzoefu na bidhaa za starionary kutoka china anijuze, nina millioni kumi, na kuna mtu kaniambia naweza fanya hiyo biashara na nikapata faida kubwa zaidi.Nimeshapata stationary kumi, ambazo ni kubwa na wanahitaji niwe nawazambazia vitu kama madaftari,penseli na kalamu

Salaam,
Kwanza, nimekuwa na uzoefu kwa muda juu ya biashara za China na Japan. Kwa mtaji wa 10mil ni kama nusu ya mtaji wa kuanzia kwa sababu kuna mambo matatu hapo. 1. Usafiri na malazi, 2. Ununuzi wa bidhaa na uhifadhi, 3. Upakiaji na Usafirishaji.
Biashara uliyopanga kuifanya naamini umeshafanya utafiti na kugundua ni nini kinachotakiwa. Unachopaswa kufanya kwa kuanza (kulingana na mtaji wako) tafuta wakala (online au wenye ofisi Tanzania) uweke order kulingana na mahitaji yako kisha mzigo ukifika unaanza kazi ya ku supply kwa hao wateja wako.
Ukifanya hivyo Mara nne au mara tano tayari utakuwa na uwezo wa kwenda mwenyewe na kujionea fursa zaidi za biashara nchini China. Sambamba na hilo nakushauri usiwekeze pesa yote kwenye mtaji wakati wa kuanza biashara hiyo kwa ajili ya dharura za kibiashara na wateja wako.
hapo kwenye red ndiyo kazi ipo, labda utusaidie orodha ya mawakala waaminifu ambao wewe ulishawahi kufanya nao kazi.
Mkuu
Wapo kina Alibaba, hata hivyo kuna kampuni za wazawa ambazo zinafanya kazi hiyo au pamoja na kazi nyingine. Yeyote akikwahitaji anijulishe tu.
biashara ya ki 'mbebez' hiyo!!..waachie mbebez waifanye!!..miafrika kwa uvivu siiwezi mweh!!..ndo tatizo la kunywa ''kibuku' asubuhi.

Hizi ni akili za watu wasio na vision Kabisa maishani!
pole sana sikuwahi kufikiri Kama una fikira mkia wa mbuzi na umekosa busara kiasi hiki!
nitakutafuta mkuu kwani hao mawakala wengi wamekuwa matapeli ndo maana tunasita kufanya nao biashara
biashara ya ki 'mbebez' hiyo!!..waachie mbebez waifanye!!..miafrika kwa uvivu siiwezi mweh!!..ndo tatizo la kunywa ''kibuku' asubuhi.
Mkuu
Wapo kina Alibaba, hata hivyo kuna kampuni za wazawa ambazo zinafanya kazi hiyo au pamoja na kazi nyingine. Yeyote akikwahitaji anijulishe tu.
Hizi ni akili za watu wasio na vision Kabisa maishani!
pole sana sikuwahi kufikiri Kama una fikira mkia wa mbuzi na umekosa busara kiasi hiki!
huko alibaba si ndiyo kumejaa madalali na wasanii mkuu? kusema kweli biashara ya china ni muhimu sana kwenda mwenyewe kuexplore na kujitengenezea network.
biashara ya ki 'mbebez' hiyo!!..waachie mbebez waifanye!!..miafrika kwa uvivu siiwezi mweh!!..ndo tatizo la kunywa ''kibuku' asubuhi.
Hivi mkuu inachukua muda gani tangu umeagiza mzigo mpaka unaupata? Na vipi kuhusu vifaa vya ujenzi? Hivi watu wanavifuata China, Hong Kong au Dubai?Everything is how you make it. Kama ni madalali hata China wapo tena wabaya sana. Mara nyingi watu wamekuwa wakibambikwa bidhaa fake badala ya alizonunua, au pengine kubadilishiwa kabisa aina ya mzigo pale wanapofunga. Huko Alibaba mwanzoni mwa 2011 niliwahi kuagiza mizigo mara mbili nikaipata bila wasiwasi.
Labda kuna namna hao madalali wanawaharibia lakini ukiwasiliana nao direct na kuwa na mkataba nao mizigo yako unaipata kwa uhakika bila wizi wowote.