Biashara kutoka Uturuki

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Habari asubuhi wanajamvi, kuna ndugu yangu anahitaji kwenda Uturuki kuchukua furniture na pia kucheki bidhaa toufauti za kuja kuuza huku kwetu sema anahitaji invitation letter kutoka kwa kampuni yoyote Uturuki ambayo itakuwa rahisi yeye kupata visa.

Nawasilisha
 
Heee!!!:shocked::shocked::shocked:
 
kwani ukitaka kufanya biashara nje ya nchi aukuchuukua mzigokenya mpaka uwe na invitation letter maana mm sijui
hebu watalaamu na wajuzi mje kutusaidia hapa
 
invitation letter kama unaomba visa ya kwenda kukutana na kampuni,mbona visa ya turkey ni fasta sana,unapata ndani ya dakika tu,aombe ya kutembelea akienda uko ndio afanye hizo shughuli
 
kwani ukitaka kufanya biashara nje ya nchi aukuchuukua mzigokenya mpaka uwe na invitation letter maana mm sijui
hebu watalaamu na wajuzi mje kutusaidia hapa

hakuitaji invitation letter labda kama unasema unaenda kuonana na kampuni imekuita au mtu
 
Sidhani kama visa ya uturuki inahitaji invitation letter, wale hawana roho mbaya kama wenzao ulaya (pure)
Hua napitaga tu sijawahi kushuka nione usumbufu wa kupata visa
 
Sidhani kama visa ya uturuki inahitaji invitation letter, wale hawana roho mbaya kama wenzao ulaya (pure)
Hua napitaga tu sijawahi kushuka nione usumbufu wa kupata visa

Visa Yao unaipata fasta tena unajaza kwenye mtandao na kulipia,hakuna cha interview Labda upende mwenyewe
 
Nakumbuka kwenda huko na Visa nilinunua Online kwenye ukurasa wao wa Visa.

Nilinunua kama Mtanzania maana hadi leo bado Mtanzania ingawa Visa niliyonayo huenda ilinisaidia.

Ila ninavyofahamu kwenye swala la Visa, wanaangalia Passport yako na siyo Visa gani unayo.

Kila la kheri.

Nyongeza: Nilikuwa na fedha za kutosha kama wanavyodai uwe nazo yaani bajeti yako kwa siku. Sikumbuki ni ngapi ila nafikiri ukijiwekea Euro 100 kwa siku basi zinatosha. Ila kama utapata mwaliko, basi ina maana huyo mwenyeji wako ataonyesha kuwa ana fedha. Kama ni Kiwanda au kampuni, inaweza kuwa ngumu. Karibuni pia pande hizi kwa biashara.
 
Ahsanteni mwenye link ambayo naweza apply visa online ya ututruki atupie hapa
 
Wewe upo pande zipi mkuu?
Asanteni kwa info ndg zangu.
cc Money Stunna
 
Last edited by a moderator:
kama utapata mwaliko, basi ina maana huyo mwenyeji wako ataonyesha kuwa ana fedha. Kama ni Kiwanda au kampuni, inaweza kuwa ngumu. Karibuni pia pande hizi kwa biashara.
Mwenyeji anaonesha vipi kuwa ana fedha katika invitation letter kwa mtu binafsi(sio kampuni) na huo utaratibu wa kuonesha kiasi cha fedha upo hata kwa Marekani,maana kuna mtu anataka kuniandikia barua ya mwaliko lakini hajui vitu gani vya kuonesha,sasa hata kwenye fedha sidhani kama tunauelewa wa kutosha...kama unajua unaweza kutoa msaada pia hapa.

cc Money Stunna
 
Last edited by a moderator:

Hakuna Haja ya invitation letter,visa Yao ni dakika tu unapata,na ukishindwa pata,unaweza kupata airport ukienda na ndege Yao Turkey airline,utajaza pale airport,kwa kila siku utakazokaa uwe na angalau dolla 100
 
Kwa biashara Kama za nguo siwashauri Muende Turkey sababu ata wao utao China,nguo ni bei kule,mi uwa naendaga kula bata tu kila mwaka nitaenda tena January 2016
 
Hakuna Haja ya invitation letter,visa Yao ni dakika tu unapata,na ukishindwa pata,unaweza kupata airport ukienda na ndege Yao Turkey airline,utajaza pale airport,kwa kila siku utakazokaa uwe na angalau dolla 100

Nilikuwa naulizia kwa invitation letter ya Marekani sio Uturuki,so unaweza ipitia tena then unipe vip content ya hizo barua inatakiwa iwe na vitu gani na uwezo wa kifedha anayenialika ataonesha wapi na kwa mtindo gani kama inatakiwa kuoneshwa
 
Nitakuandikia mfano wake baadaye nikitoka mizunguko,kuhusu uwezo kifedha ni kupitia bank statement
 
Wadau tusaidiane anayejua agent(cargo) ya kusafirisha nguo kutoka uturuki hadi bandarini dar es salaam, ambaye ni waaminifu na cheap, na anacharge bei gani kwa CBM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…