Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani naombeni mawazo,nimekusanya 30m nataka kufanya biashara yenye kuhitaji minimum supervision maana nafanya kazi ya kuajiliwa na siwezi kuacha kazi,biashara gani naweza kuanzisha ikanilipa?naomba msaada wa mawazo please.
ama kweli upele humuota
mtu asiye nakucha...
yaani mtu mzima umeajiliwa na una mtaji mzuri
kama huo wa 30M kisha unasema hujui ufanyie nini..
mie naona kama kejeli / matusi flani hasa ikizingatiwa
halia ya uchumi ilivyo ngumu...na nikijiuliza je
hizo 30M uliokota, ulipewa kama msaada, ulipiga "tukio" mahala,
umekopa, umedunduliza kidogo kidogo, za urithi au unaota.??
nijibu kwanza maswali yangu kisha ndo ntakuap ushauri wa nini
cha kufanya...
ila kumbuka penye miti hapana wajenzi.
Min supermarket
tafuta sehemu nzuri fungua duka la wine. south kuna wine za R 26 ambazo ni sawa na Tsh 4500 kwa rate ya 165 kuna kodi na usafirishaji. unaweza nunua chupa 3000 ukaanza retail business kwa 10,000-12,000 kwa wine. uzuri wine hazina expire date na biashara ya bidhaa moja ni rahisi kumanage na ukizoea unaweza fanya online. shida unaweza pata kwenye kufuatilia import permit na kumbuka kuwa na competitive price na kujitangaza aggressivelyNaomba ABD ya hiyo biashara,will it not need maxmum usimamizi?
Nashukuru kwa ushauri!tafuta sehemu nzuri fungua duka la wine. south kuna wine za R 26 ambazo ni sawa na Tsh 4500 kwa rate ya 165 kuna kodi na usafirishaji. unaweza nunua chupa 3000 ukaanza retail business kwa 10,000-12,000 kwa wine. uzuri wine hazina expire date na biashara ya bidhaa moja ni rahisi kumanage na ukizoea unaweza fanya online. shida unaweza pata kwenye kufuatilia import permit na kumbuka kuwa na competitive price na kujitangaza aggressively