Biashara kwa Mtaji wa 30M

Biashara kwa Mtaji wa 30M

Lubhalisi

Senior Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
118
Reaction score
57
Jamani naombeni mawazo,nimekusanya 30m nataka kufanya biashara yenye kuhitaji minimum supervision maana nafanya kazi ya kuajiliwa na siwezi kuacha kazi,biashara gani naweza kuanzisha ikanilipa?naomba msaada wa mawazo please.
 
nunua banda majohe gongo la mboto...banda ni kati ya shl million 18-20 then pesa itayobaki fanyia biashara ...Ukinnua banda majohe baada ya miaka miwili ukiuza utapata pesa zaidi ya ulonnulia....Kwa maana nyngne utakuwa umefanya biashara ya kuwekeza kwenye ardhi
 
Jamani naombeni mawazo,nimekusanya 30m nataka kufanya biashara yenye kuhitaji minimum supervision maana nafanya kazi ya kuajiliwa na siwezi kuacha kazi,biashara gani naweza kuanzisha ikanilipa?naomba msaada wa mawazo please.

ama kweli upele humuota
mtu asiye nakucha...
yaani mtu mzima umeajiliwa na una mtaji mzuri
kama huo wa 30M kisha unasema hujui ufanyie nini..
mie naona kama kejeli / matusi flani hasa ikizingatiwa
halia ya uchumi ilivyo ngumu...na nikijiuliza je
hizo 30M uliokota, ulipewa kama msaada, ulipiga "tukio" mahala,
umekopa, umedunduliza kidogo kidogo, za urithi au unaota.??
nijibu kwanza maswali yangu kisha ndo ntakuap ushauri wa nini
cha kufanya...
ila kumbuka penye miti hapana wajenzi.
 
usikimbie kunilaumu wewe toa ideas kaa unayo,nilishafanya biashara watu wakani katisha tamaa maana kwa nature y kazi yangu nashindwa kufuatilia fullyndiyo maaa najaribu kuangalia kwa angle ingine kuliko kukaa bila kufanya kabisa. Kwahiyo vijembe havinaisaidii na ndiyo maana jukwaa hili lilianzishwa ilikusaidiana na kupigana vijembe.Kujua nimepataje is not of interest at all.
 
Naomba ABD ya hiyo biashara,will it not need maxmum usimamizi?
tafuta sehemu nzuri fungua duka la wine. south kuna wine za R 26 ambazo ni sawa na Tsh 4500 kwa rate ya 165 kuna kodi na usafirishaji. unaweza nunua chupa 3000 ukaanza retail business kwa 10,000-12,000 kwa wine. uzuri wine hazina expire date na biashara ya bidhaa moja ni rahisi kumanage na ukizoea unaweza fanya online. shida unaweza pata kwenye kufuatilia import permit na kumbuka kuwa na competitive price na kujitangaza aggressively
 
Nashukuru kwa ushauri!
 
Back
Top Bottom