Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chimba kisima pata maji baridi uza kwako weka na branch zenye mita unakuwa na log book yako unapita branch kila baada ya siku 3 kukusanya fweza zako.Wadau ebu tupeane ushauri, unaweza anzisha biashara gani ambayo ukiwa kama mfanayakazi wa kuajiriwa unaweza kuimudu? Zingatia vigezo vifuatavyo ambavyo vinaweza kukuanguasha vya insi ya kuicontrol ukiwa kazini (Wasiowaaminifu wanaweza kukuangusha)
Chimba kisima pata maji baridi uza kwako weka na branch zenye mita unakuwa na log book yako unapita branch kila baada ya siku 3 kukusanya fweza zako.
No stress, minimum supervision.
Karibu.
Sijajua kma kuna ukweli juu ya hilo but kuwa sasa dawasco bado hawajawafikia watanzania kwa kiwango cha kileta competition, pesa hipo hapa tena ya milele.Smea tu Nasikia kwamba ukifanya biashara Dawasco wanakuja kukufungia.
Kuna Nyumba moja niliona kwenye EATv wamemfungia kisima.
tatizo sio maeneo yote yenye maji baridi..
kuna sehem ardhi maji chumvi tupu.. mfano maeneo ya ubungo.
toeni wazo jingine
Mkuu swala sio chumvi swala ni pesa hata ukitoa maji baharini ukiwa na pesa yanachujwa yanakua baridi kushinda ubaridi, hapa tunazungumzia mtaji wako ndio ubora wa maji yako,,
Minimum 4m/=ku treat maji ina cost kiasi gani?
kwa wastani