Biashara kwa Wafanyakazi

Biashara kwa Wafanyakazi

Abatmwe

Senior Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
110
Reaction score
79
Wadau ebu tupeane ushauri, unaweza anzisha biashara gani ambayo ukiwa kama mfanayakazi wa kuajiriwa unaweza kuimudu? Zingatia vigezo vifuatavyo ambavyo vinaweza kukuanguasha vya insi ya kuicontrol ukiwa kazini (Wasiowaaminifu wanaweza kukuangusha)
 
Chimba kisima pata maji baridi uza kwako weka na branch zenye mita unakuwa na log book yako unapita branch kila baada ya siku 3 kukusanya fweza zako.
No stress, minimum supervision.

Karibu.
 
Mkuu,hii issue kuna mama pale Tabata anakula pesa tam kweli.Yaani unapunguza ukali wa maisha.
Tatizo watu wanataka mifaida ya haraka,na wengine sio risk takers,unakuta mtu anajenga hofu kwamba labda kesho yake dawasco watafanya yao maji yawe bwerere.

Ila ni biashara nzuri ukitega maeneo kadhaaa
 
Smea tu Nasikia kwamba ukifanya biashara Dawasco wanakuja kukufungia.
Kuna Nyumba moja niliona kwenye EATv wamemfungia kisima.
 
Sijajua kma kuna ukweli juu ya hilo but kuwa sasa dawasco bado hawajawafikia watanzania kwa kiwango cha kileta competition, pesa hipo hapa tena ya milele.
Yupo mtu ninaye mfahamu anapiga laki 2 hadi 3 per day.
 
tatizo sio maeneo yote yenye maji baridi..

kuna sehem ardhi maji chumvi tupu.. mfano maeneo ya ubungo.

toeni wazo jingine
 
Mkuu swala sio chumvi swala ni pesa hata ukitoa maji baharini ukiwa na pesa yanachujwa yanakua baridi kushinda ubaridi, hapa tunazungumzia mtaji wako ndio ubora wa maji yako,,
 
ku treat maji ina cost kiasi gani?

kwa wastani
 
Back
Top Bottom