jr rozana
Member
- Oct 16, 2013
- 14
- 3
Habari ya asubuhi wapendwa wote,naamin mmeamka salama kabisa....nko na jambo hapa naomba msaada toka kwenu ktk kuplaniwa ni biashara gan nifanye kulingana na mtaji wangu nlionao na eneo nalo patikana pia,mm nko kigambon dar,nimeza save mtaji wangu hadi laki 6 bt kila mkiwata nawekeza vp pesa hii hapo ndio pasua kichwa nashidwa fikia maamuz so guys naomben ushauli wenu.Natanguliza shukuran zangu za dhati hata kwa kupitia thread hii tu.