Biashara mpya

Biashara mpya

jr rozana

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
14
Reaction score
3
Habari ya asubuhi wapendwa wote,naamin mmeamka salama kabisa....nko na jambo hapa naomba msaada toka kwenu ktk kuplaniwa ni biashara gan nifanye kulingana na mtaji wangu nlionao na eneo nalo patikana pia,mm nko kigambon dar,nimeza save mtaji wangu hadi laki 6 bt kila mkiwata nawekeza vp pesa hii hapo ndio pasua kichwa nashidwa fikia maamuz so guys naomben ushauli wenu.Natanguliza shukuran zangu za dhati hata kwa kupitia thread hii tu.
 
Kuwa na mawazo ya biashara zaidi ya matatu.
Yafanyie tathimini kwa kutumia WWWWH,
Utapata jibu mwenyewe; wala haihitaji kuangaika na wataalam wa kukuplania mradi, watakula pesa zako tu.
Kwa msaada naweza nikakutumia mwongoza kama utakuwa tayari kuniPm.
 
Tafuta meza na eneo karibu na kivuko uza pweza
 
Back
Top Bottom