Biashara na mahusiano hayatanitesa kweli?

Ila bado unautoto mwingi sana.

Rudia hayo uliyoyaandika kwenye hii post yako utagundua umezingua pamoja na kuitwa babu.
Umewahi kumtia mimba wakati mambo yako bado.

Hawa wadudu wakishikana akili huna Bahati. Huyo ungeendelea kumtumikisha Kwanza mkuu akuingizie hela ya kutosha japokuwa mnagawana lakini MWANAUME lazima azidi kipato hapo.

Wewe subiri kucheza SINDIMBA utaiona taa ya njano muda sio mrefu alafu inafata NYEKUNDU Sasa.

Kmmake hisia.
 
Kuna mifumo nitaitumia pale itakavyokuwa hivyo; yeye nitamsainisha mkataba wa ajira; kuhusu kuzaa nje, si wa kwanza, wapo wengine 5 nje wana watoto wangu pia nje ya ndoa.
 
Hii biashara itakua ya kwako sawa

Ila wewe ndo utakua unaishi kama muajiriwa.

Akiwa anataka interest zake zitimie anakupiga mkwara tu kuwa anamwambia wife. Unapoa
 
Soma Comment za Wanawake wa JF wanakufafanulia nini kitajiri baadae yaan wanakupa picha mapema, cha kwanza utaambiwa yaan Mimi nikufanyie kazi wewe na Mkeo kwani Mimi sijakuzalia Mtoto?
Bahati nzuri amesema kwenye biashara tusiweke mahusiano
 
Utapigwa back to back, home and away kama Simba alivyofanywa na Yanga.

Yani utakuja kushangaa mtoto sio wako na biashara unaishia kuweka mtaji, kulipa kodi ila hunufaiki na chochote

Tulia na huyo the ao called wife material. Mjengee kabiashara kake ambako mtakuwa huru wote wawili
 
Hapo baadae kutakua na conflicts of interest kweny iyo biashara by the way uombe sana mungu
Ni kweli, ndio nipo kwenye kuainisha hizo 'risk' na namna ya kuzitatua
 
Daaah sasa tukushauri nini?
 
Ndio HAPO sasa Maji utakapoita Mma aidha umpe ZOTE au amwage Ugali na Mboga yake
Kwa sababu biashara itasomeka eqn x na itakuwa kila mkoa/wilaya uko mbeleni, kupitia hiyo hiyo biashara naye atatakiwa kufungua eqn y (atamiliki yeye)
 
Akiiba ataenda kutumia kulea mtoto wangu πŸ˜€
 
Kwa sababu biashara itasomeka eqn x na itakuwa kila mkoa/wilaya uko mbeleni, kupitia hiyo hiyo biashara naye atatakiwa kufungua eqn y (atamiliki yeye)
Sasa HAPO kwenye Y ndio BOM linapoenda kulipukia atataka kuchukua ZOTE 100 SIO 50/50 tena na kuanza kujisifia ubossledi akiwa ameshikilia share ZOTE kwa asilimia 100 Wewe ukiwa Mikono mitupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…