DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
Inategemea tu utakavyoiweka. Ila usimruhusu ajue udhaifu wa mkeo na pia usiongee naye chochote kuhusu matatizo ya ndoa yako hata kama ni madogo kiasi gani.Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa na pale na mwisho wa siku kipato kitaonekana.
Bahati nzuri katika wazo hilo, yuko tayari kulisimamia, na pia ana timu ya kumsaidia kufanya hiyo kazi; kwa upande wangu natakiwa kufungua ofisi tu.
Bahati nzuri tuliafikiana nifungue mimi ofisi na isomeke kwa majina yangu (eqn x co.ltd), yeye awe kama muajiriwa tu, ila faida tuwe tunagawana nusu kwa nusu. Na itamlazimu wakati mwingine kwenda mikoa mingine kwa ajili ya ufunguzi wa ofisi; kwa mazingira hayo atakuwa kama ''operation manager''
Kutokana na hii mikakati kabambe, nimeamua kumzawadia ujauzito ili aweze kufanya kazi kwa uaminifu zaidi, akijua anapambania mali ya baba wa mtoto wake.
Hofu yangu ni kwa huko baadaye, hatoweza kuleta timbwili timbwili kwa bi mkubwa (waifu matirio wangu)?
Ingawa kwa sasa anasema ananiheshimu mimi pamoja na familia yangu, na hatoleta tatizo.
Wazoefu, nipeni maushauri; hii biashara na mahusiano hayata nitesa kweli?
Je, nifanyeje?
Pili, ili ufanikiwe, tafuta namna umfanye aelewe kwamba humfichi na wala huogopi suala la yeye kutambulika kuwa mkeo, hapa kisaikolojia unamjengea imani wakati huo huo unamnyang’anya silaha ambayo angeitumia kukublackmail ikitokea kutokuelewana mbele ya safari.
Tatu, endapo utaamua kufanya hiyo biashara, usimpe hisa kwenye kampuni angalau mwanzoni mpaka utakapojiridhisha huko mbele ya safari kwamba anastahili.
Baadhi ya wanawake ni wabinafsi na wanashindwa kuhimili mshindo wa mafanikio, pia kama binadamu wengine, wanajisahau plus ulimbukeni.
Nne, usimruhusu ahodhi accounts za kampuni, mweke mbali na usimamizi wa fedha.
Mwisho na siyo kwa umuhimu, ukiamua kumfanya operations manager, au muajiriwa wako, hakikisha unamsainisha mkataba kama ambavyo ungewasainisha wafanyakazi wengine. Hata kama utamzawadia mtoto, mshahara mzuri na marupurupu mengine.
Play by the book when it comes to business. Ukifika nyumbani, ni kuchakata mbususu tu.