Biashara na mahusiano hayatanitesa kweli?

Inategemea tu utakavyoiweka. Ila usimruhusu ajue udhaifu wa mkeo na pia usiongee naye chochote kuhusu matatizo ya ndoa yako hata kama ni madogo kiasi gani.

Pili, ili ufanikiwe, tafuta namna umfanye aelewe kwamba humfichi na wala huogopi suala la yeye kutambulika kuwa mkeo, hapa kisaikolojia unamjengea imani wakati huo huo unamnyang’anya silaha ambayo angeitumia kukublackmail ikitokea kutokuelewana mbele ya safari.
Tatu, endapo utaamua kufanya hiyo biashara, usimpe hisa kwenye kampuni angalau mwanzoni mpaka utakapojiridhisha huko mbele ya safari kwamba anastahili.
Baadhi ya wanawake ni wabinafsi na wanashindwa kuhimili mshindo wa mafanikio, pia kama binadamu wengine, wanajisahau plus ulimbukeni.

Nne, usimruhusu ahodhi accounts za kampuni, mweke mbali na usimamizi wa fedha.

Mwisho na siyo kwa umuhimu, ukiamua kumfanya operations manager, au muajiriwa wako, hakikisha unamsainisha mkataba kama ambavyo ungewasainisha wafanyakazi wengine. Hata kama utamzawadia mtoto, mshahara mzuri na marupurupu mengine.

Play by the book when it comes to business. Ukifika nyumbani, ni kuchakata mbususu tu.
 
Binadamu tumeubwa na roho ya Ubinafsi,yaani angalia mtu una muajiri ila anakuibia sembuse mnaeshea shuka moja tena huyu anaenda kukunyoosha vizuri ukileta fyokoo anakiamsha kwa mkeo😁😁
 
Mke yuko kwingine anasimamia vingine mkuu
 
Hao wakishajua wamepanda mbegu za kukuchuna na ushaingia kibla wanakuwaga wasikivu sana ila wala hayana muda, hakuna rangi ambayo hautaacha kuona. Washenzi sana wanawake wanaotembea na waume za watu.
 
"don't play with fire if you can't handle the flame"
 
Ni kweli, ndio nipo kwenye kuainisha hizo 'risk' na namna ya kuzitatua
Jambo kubwa hapo usimpe usimamiz wa asilimia 100 na wewe uwepo wenye sehemu ya maamuzi na usimamiz wa biashara na biashara mambo yakikaa vizuri uende kisheria (mikataba)🔒
 
Huu ushauri ni wa kiutu uzima, nauchukua mkuu.
 
Sasa HAPO kwenye Y ndio BOM linapoenda kulipukia atataka kuchukua ZOTE 100 SIO 50/50 tena na kuanza kujisifia ubossledi akiwa ameshikilia share ZOTE kwa asilimia 100 Wewe ukiwa Mikono mitupu
Mbona unaniogopesha mkuu?
 
Na kuzaa nje unazaa tena kwa makusudi🤣🤣🤣🤣 ila wanaume🙌 na ikatokea mkeo akijua anatakiwa akomae tu au sio ntamshauri mkeo asisikilize ya walimwengu apambanie ndoa yake, hata mchepuko akitaka kuhamia ndani kwako mruhusu na mkeo pia mueleweshe kwamba wewe ni mwanaume una maamuzi ya kiume hakuna wa kukupangia.

Aisee this gender🙌🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…