Na ukitaka kuamini hii mbinu mfanyie mtu unayefamiana nae utakuja kunipa majibu..wafanya biashara wengi wenye wenge huwa wanapigwa kwa style hii.kwa kuwa hawanampango wa kuhakikisha malipo mara mbili.Inaonekana bado unaishi kwa shemeji au umeandika kiutani