Biashara ndogondogo zinaweza kukutoa mapema ukipeleka mnadani

Biashara ndogondogo zinaweza kukutoa mapema ukipeleka mnadani

Unauza jumla au rejareja ni kitu gani kinakupa shida mkuu funguka
Nauza reja reja vifaa vya simu na ufundi Mimi bado sijamaster vizuri ufundi hivo nimeweka fundi ambaye akitengeneza 50 percent anaiacha dukani ilobaki inakua yake sasa nae anazingua vifaa havitoki kwa siku nauza elfu mbili mpaka elfu 10 na mara ingine nisiuze kabisa
 
biashara yako ina mda gani vipi bei zako zipoje? unapochukulia mzigi wako je?Ushawahi kwenda mtu ambae anafaya biashara kama wewe na anauza sana kutaka kufaham anafanyaje kazi zake?
 
#Nimempenda sana manengelo,pls hold me nina kamtaji ka 1ml,lead me to the truth way and 100% secure so I may get a little daily bread of even 30,000/- net cash.
 
mkuu ninaongea kwa experience,ninafanya biashara ya accessories na simu mjini,alfu 10 hawanunui?nasema ni uongo,ninauza tecno T528 jumla 45000 Zinauzika balaa vijana wanakuja nunua hapa unakuta mtu ananujua 10 3days amemaliza tena akienda mnadani anauza 60000/55000,na siyo aina moja ya simu,
Inote wametoa kasimu cha button na touch hpo hapo kana WhatsApp na kanatumia android Jumla 93000 kanauzika balaa wanunuzi wengi Vijana wanaofanya biashara mnadani
KUNA MADA ZA KUCHANGIA UKIWA NA INFORMATIONS ZILIZOKAMILIKA,
KARIBUNI SINGIDA
Sawa mkuu na Mnada wa Sepuka huwa unaenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom