Nafanyia kabwe MbeyaWhy mkuu ,biashara hiyo unafanyia wapi?
Nauza reja reja vifaa vya simu na ufundi Mimi bado sijamaster vizuri ufundi hivo nimeweka fundi ambaye akitengeneza 50 percent anaiacha dukani ilobaki inakua yake sasa nae anazingua vifaa havitoki kwa siku nauza elfu mbili mpaka elfu 10 na mara ingine nisiuze kabisaUnauza jumla au rejareja ni kitu gani kinakupa shida mkuu funguka
biashara yako ina mda gani vipi bei zako zipoje? unapochukulia mzigi wako je?Ushawahi kwenda mtu ambae anafaya biashara kama wewe na anauza sana kutaka kufaham anafanyaje kazi zake?Nauza reja reja vifaa vya simu na ufundi Mimi bado sijamaster vizuri ufundi hivo nimeweka fundi ambaye akitengeneza 50 percent anaiacha dukani ilobaki inakua yake sasa nae anazingua vifaa havitoki kwa siku nauza elfu mbili mpaka elfu 10 na mara ingine nisiuze kabisa
Nipo singida mkuu
Sawa mkuu na Mnada wa Sepuka huwa unaenda?mkuu ninaongea kwa experience,ninafanya biashara ya accessories na simu mjini,alfu 10 hawanunui?nasema ni uongo,ninauza tecno T528 jumla 45000 Zinauzika balaa vijana wanakuja nunua hapa unakuta mtu ananujua 10 3days amemaliza tena akienda mnadani anauza 60000/55000,na siyo aina moja ya simu,
Inote wametoa kasimu cha button na touch hpo hapo kana WhatsApp na kanatumia android Jumla 93000 kanauzika balaa wanunuzi wengi Vijana wanaofanya biashara mnadani
KUNA MADA ZA KUCHANGIA UKIWA NA INFORMATIONS ZILIZOKAMILIKA,
KARIBUNI SINGIDA
Hawanaga bei .unamnunulia msos mchana jion unamwachia 5000!ila ukubaliane naye kwanzaWangari Maathai na wadau wengine naomba kuuliza wale wapiga debe minadani huwa wanalipwaje.
Okay Asante SanaHawanaga bei .unamnunulia msos mchana jion unamwachia 5000!ila ukubaliane naye kwanza
Ubarikiwe mkuu nilikuwa kwenye profile lako nautafuta uzi nimeupata sahizi....shukrani madam