Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Hawa wakina kimnyamkela humu ndani wanawadanganya na vidawa na matarajio bandia huku akiwa amenyoosha miguu kwenye kochi la shemeji yake.
Pesa ni uhalisia, ingekuwa kuna miujiza ya kuvusha watu kibiashara basi kungekuwa kuna rundo la wafanyabiashara waliondelea katika nchi hii ila wapo limited sana unajua kwanini, ni kwa sababu wana mtaji na wengine wanafeli kwa kukosa mtaji na wengine wanabakia nusu nusu kwa kuwa wana mtaji wa kusua sua.
I dare mwana jf yoyote alieweza kutajirika kwa waganga na miujiza aje hapa na vithibitisho hivyo