Biashara ni mtaji, hakuna mganga, shehe wa visomo au aposto yoyote hapa duniani ana dawa ya kukuza biashara yako

Mganga hakuzi mtaji ila anaweza kuulinda endapo nguvu za giza zitashiriki kukuzonga uupoteze.
Hawa wahindi wanaenda kwa wataalam au wanatumia utaalam kulinda biashara zao kuingiliwa kishirikina.
hoja yng umeielewa mjomba? Hoja yng ni kupinga kwmb eti biashara ni mtaji na si vingnevyo nakwambia hata upewe BOT utapgwa matukio na utafiriska, hujui kwmb watu wanaweza funga biashara yako wateja wasiwe wanaiona hupati mteja hata 1 daadeki, hata wazungu wana mambo yao unadhan ile kuigza uzombii ni nn ni madude yao hayo spiritually..kuna thread humu inaitwa DARK SIDE OF THE BUSINESS ipitie uone shuhuda za mwamba kwny mapambano ya biashara..
 
Ile thread ni utapeli
 
Hii tabia ya jobless graduates kuongelea biashara ingependeza ikome.

Financial Analyst you know nothing about the game of business. You better shut up
 
Back
Top Bottom