TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kabisa mzee baba mie nimejilockdown siku mingi nakamua tuu ndani. Tena tule tulot dudogo dogo🤑🤑Sisi wazee wa FOREX life if good.
Nyie endeleeni kupasua kichwa!! yani huku korona huku mzee meko kabana...
Poleni sana.
Ukichange njoo tupe mrejesho,maana ww umeona tatizo ni location ukaamua kuchange.Leo taree 21 biashara tano?? Ebu fafanua kidogo tupate uelewa.
Me kwa upande wangu nimehamisha biashara mkoa A kwenda mkoa B but the same business.
Hao ni wacheza kamariMwenye hela hawezi kujificha hela zake zitamuonyesha tuu
Nyie wazee wa forex mbona hatuwaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo Forex kwa uchumi upi?Sisi wazee wa FOREX life if good.
Nyie endeleeni kupasua kichwa!! yani huku korona huku mzee meko kabana...
Poleni sana.
You figure it out.
Aisee!! Kwa hiyo unataka kuona ela? ukishaona uje umpige roba au?Mwenye hela hawezi kujificha hela zake zitamuonyesha tuu
Nyie wazee wa forex mbona hatuwaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma tenaAisee!! Kwa hiyo unataka kuona ela? ukishaona uje umpige roba au?
Soma tena uelewe sio tu unajibu kitu ambacho huja kielewa.