Biashara sasa na Corona hii pasua kichwa

Biashara sasa na Corona hii pasua kichwa

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari JF!

Nimekutana na mshikaji mmoja hivi ananambia kwamba biashara ni pasua kichwa na kashabadilisha biashara kama tano ndani ya mwezi huu.

Vipi mdau, je na wewe umebadilisha biashara ngapi au una mpango wa kubadilisha kuendana na muktadha wa wakati?
 
Back
Top Bottom