Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,322
- 10,177
- Thread starter
-
- #21
Hapa nazungumzia biashara zile za kuacha alamaHata pub zinachanganya , mara dada wa kaunta anapita na kibunda unarudi sifuri , biashara ni kuchanganyikiwa tu
Inategemea na malengo, strength yako nksijawahi kuingia wala kufanya biashara... nataka niingie rasmi, nifungue biashara ya duka la Mangi.
mnafanya nibaki njia panda!
Pia umezungumzia pub , nafikiri umesahau.Hapa nazungumzia zile biashara kubwa kubwa
Hapa nazungumzia biashara zile za kuacha alama
Duka la mangi pesa nje, njesijawahi kuingia wala kufanya biashara... nataka niingie rasmi, nifungue biashara ya duka la Mangi.
mnafanya nibaki njia panda!
Ndivyo ilivyo kwani zinaisha???Pub zote ninazopitia hizo pisi kali unazosema hazikai miezi miwili.
Pia umezungumzia pub , nafikiri umesahau.
Pia umezungumzia pub , nafikiri umesahau.
Pia umezungumzia pub , nafikiri umesahau.
Yes, hizo biashara hazina stress sana tofaut na hizi biashara za ku build empirePia umezungumzia pub , nafikiri umesahau.
Sidhani kama Calito ana pub, hapa nimezungumzia pub. Na Calito sio SI unit ya maeneo ya starehe kwamba yeye akiwa amefanikiwa basi kila mmiliki wa biashara za starehe hana changamoto.Ndivyo ilivyo kwani zinaisha???
Ila sijui boss Calito aliwezaje ku simamia na wavuvi for years
Yaani unajitoa kwa watu ambao hata huwajuiBiashara za ku build legacy ndio tamu sasa
Vitu vyangu hivi
It's not about you....it's about your generationSasa hiyo legacy inakusaidia nini?
Sijakuelewa hapa 👆🏾Yaani unajitoa kwa watu ambao hata huwajui
Wewe marehemu itakusaidia nini hiyo?It's not about you....it's about your generation
Unakuta kizazi chako hata Cha nne huko wanaikuta biashara na wanaendeleza
Hizi ndo akili za Africans wengi Wala sio kosa lakoWewe marehemu itakusaidia nini hiyo?