Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
TAFUTA MILIONI MOJA UZA NGUO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JMF hapo juu amedadavua kitaalamu kwa kuanza na faida hitajikaMtoa uzi weka kiwango chako cha mtaji ili iwe rahisi wadau kutoa mawazo yao hapa
Si vibaya ukitupatia huo uzoefu na mbinuDah mnakatisha tamaa vijana ambao ndio wanataka kuanza biashala ya chips yani mtaji uwe 4mil hapo labda inafanyika kaliakoo ila sisi wengine tumeifanya na tunaijua
Uza chips na mayaaai au viaazzi vya kukaanga au miiihogo ya kuchoma na mishkkakiHabari wanajamvi ,mm nipo Tanga lakini maeneo ya kijijini .Kwa muda niliokaa huku mambo ya kilimo yamegoma hasa kwa sababu ya hali ya hewa .Sasa nikafikiri kufungua biashara tofauti hata mbili au tatu zenye mtaji mdogo huko Dar ili niweze kuingiza hamsini kwa siku.
Kwanini nimechagua Dar ni kwa sababu Dar kuna ndugu zangu ambao wakati mwingne naweza kuwatumia kuangalia mambo yanavyoenda,lakini la pili kutoka hapa kwenda Dar nauli ni kama sh 15,000/=,lakini lingne Dar kuna mzunguko wa pesa yofauti na huku kijijni tilipo.
Naomba wazoefu waniongoze na kutoa ushauri naweza fungua vitu gani na kwa mtaji wa kiasi gani ili nikianza kupata kafaida angalau kuanzia 50,000/= kwa siku.Nita shukuru kwa hilo wanajamvi.
Tafuta meza maeneo yenye junction au karibu na kituo cha daladala, (eneo lililochangamka kama Mbagala, Buguruni etc).Habari wanajamvi ,mm nipo Tanga lakini maeneo ya kijijini .Kwa muda niliokaa huku mambo ya kilimo yamegoma hasa kwa sababu ya hali ya hewa .Sasa nikafikiri kufungua biashara tofauti hata mbili au tatu zenye mtaji mdogo huko Dar ili niweze kuingiza hamsini kwa siku.
Kwanini nimechagua Dar ni kwa sababu Dar kuna ndugu zangu ambao wakati mwingne naweza kuwatumia kuangalia mambo yanavyoenda,lakini la pili kutoka hapa kwenda Dar nauli ni kama sh 15,000/=,lakini lingne Dar kuna mzunguko wa pesa yofauti na huku kijijni tilipo.
Naomba wazoefu waniongoze na kutoa ushauri naweza fungua vitu gani na kwa mtaji wa kiasi gani ili nikianza kupata kafaida angalau kuanzia 50,000/= kwa siku.Nita shukuru kwa hilo wanajamvi.
Kasahau 000 hiyo pesa ni karibu sawa na US $ 380000Kamba
Faida au hasara itategemea na huyo utakaye muweka kwenye ofisi yakoNdugu zangu nashukuru kwa michango yenu mizuri ,mm nilikuwa nalenga kupata biashara ambazo naweza kumpa mtu akafanya mm nikiwa napata faida yangu ya kila siku ambapo muda wangu wakwenda kuisimamia ni weekend .Nilitaka angalau nipate biashara tofauti za mtaji wa kawaida ambapo kwa siku faida nayoweza kupata kwa biashara zote angalau kuanzia hamsini.
Nilifikiria nitafute mtu ninaemuamini nimpe mradi wa kuuza juice ya miwa nayeye kila siku ananipa faida yangu ila sijajua mtaji wake kiasi gani.Sasa miradi nyingne yenye mtaji mdogo ambayo mtu atanipa maingizo yangu kila siku bila kusimamiwa sanaaaa .Naomba mjikite hapo kunisaidia ndugu zangu.
Mm huku ni mwajiliwa wa serikali ni mwlm nipo kijijini ,nikafikiria namna ya kuingiza 1,500,000/= kwa mwezi ambapo nikafikiria kupata miradi ya mtaji midogo ambayo hatimae nitaingiza kiasi cha fedha hiyo.
17% 20% hii ratio ya faida bado ipo juu sana, japo zipo zinazozidi hapo lakini biashara nyingi ratio ni 5% to 8%.Asilimia kubwa ya biashara nyingi halali huzalisha faida ya kati ya 17% had 20% kwa mauzo. Faida ya 50,000 kwa siku ni mauzo ya kati ya 250,000 hadi 300,000 kwa makadirio. Kwenye hiyo faida tunatoa hapo gharama za uendeshaji ambazo siyo rafiki sana kwa nchi yetu. Unajikuta gharama za uendeshaji ni nusu ya faida unayopata. Hivyo inakulazimu kuuza walau 500,000 hadi 600,000 ili ulaze 50,000.
Tukija kwenye mauzo hayo, ni mtaji kiasi gani? Hapa itategemea na aina ya biashara na location. Mfano: Biashara ya jiko la chips, chomachoma, chapati za kisasa mix supu inakulazimu uwe na mtaji usiopungua 4 milion.
Naomba kujua biashara unayofanya sasa hivi na mtaji wake.Hiyo biashala unaweza kuwa hata na laki tano na ukaifanya inategemea unataka kufanyia kwenye mazingira gani mf Mimi nilianza na kuuza kuku tu kipindi hiko Majohe KWA ngozoma ambao nilikuwa nanunua sh elfu 5 kisha nawatengeneza kuanzia paja kidali na filigisi halafu miguu na kichwa na utumbo kidogo nilikuwa natengeza kitu wanaita kifulushi ambacho nilikuwa nauza shilingi mia tano hapo mtaji wa kuku kujumlisha kalai na mafuta na mkaa vilikuwa elfu 80 pamoja na sehemu ndio nilivyoanza kwenye kuku nikawa nalaza elfu 20 mpaka 30 ila nikimaliza kuku nilikuwa nalaza mpaka Eflu 50 na huo ni mtaji wa elfu 80 baadae niliamua kupanda kidogo ndio nikaweka na chips ambao mtaji ukawa umefika huko ila SASA baada ya kuanza kuweka muonekano vyema kama kutumia majikobya gesi umeme ndio mtaji ulifikia mpaka mil 1 hivyo msikate tamaa mnaweza kuanza na kidogo ulichonacho kulingana na biashala Mimi SASA hivi sifanyi hiyo biashala ni miaka 2 SASA nipo napambana na biashala nyingine ambazo mtaji wake ni mkubwa kidogo lakini nimeupatia kupitia hiyo biashala niliyoanza nayo kikubwa usione aibu kufanya biashala ambayo utaona inakuingizia kipato
Sasa hivi nafanya biashala ya Nafaka napeleka burundi na kongoNaomba kujua biashara unayofanya sasa hivi na mtaji wake.
Hivi unajua kataja biashara ngapi na za ubora upi hapo?Dah mnakatisha tamaa vijana ambao ndio wanataka kuanza biashara ya chips yani mtaji uwe 4mil hapo labda inafanyika Kariakoo ila sisi wengine tumeifanya na tunaijua
Kiukweli umeongea kitu nimejifunza jamba sio tunataka faida fulan lazma tujue tunauza shingapi kwasikuAsilimia kubwa ya biashara nyingi halali huzalisha faida ya kati ya 17% had 20% kwa mauzo. Faida ya 50,000 kwa siku ni mauzo ya kati ya 250,000 hadi 300,000 kwa makadirio. Kwenye hiyo faida tunatoa hapo gharama za uendeshaji ambazo siyo rafiki sana kwa nchi yetu. Unajikuta gharama za uendeshaji ni nusu ya faida unayopata. Hivyo inakulazimu kuuza walau 500,000 hadi 600,000 ili ulaze 50,000.
Tukija kwenye mauzo hayo, ni mtaji kiasi gani? Hapa itategemea na aina ya biashara na location. Mfano: Biashara ya jiko la chips, chomachoma, chapati za kisasa mix supu inakulazimu uwe na mtaji usiopungua 4 milion.
Akikurudia unistue,Sasa hivi nafanya biashala ya Nafaka napeleka burundi na kongo
Mawazo mgando tu, kama uwez kuchangia mada bsTAFUTA MILIONI MOJA UZA NGUO
Umesahau km Machinga hawatakiwTafuta meza maeneo yenye junction au karibu na kituo cha daladala, (eneo lililochangamka kama Mbagala, Buguruni etc)
Nenda ferry kanunue Pweza, ngisi na kamba. Wapike kwa ustadi wa hali ya juu, tumia akili zote kuja na kitu kinachovutia. Uza Supu ya pweza etc, nakuhakilishia, utapata faida zaidi ya 25% ya mtaji wako!
Ukishapata uzoefu, fanya branding kabisa, tafuta kibanda kidogo, kitengeneze vizuri, weka bango andika supu ya pweza! Utapata wateja wa kutosha sana!
ukweli upo hapa ingawa wengi hawatakagi kuamuni hii kitu.17% 20% hii ratio ya faida bado ipo juu sana, japo zipo zinazozidi hapo lakini biashara nyingi ratio ni 5% to 8%.
Ukipata biashara inayokupa ratio ya 20% hiyo sio ya kuiacha. Ni faida nzuri
Unataka niyagandue vipi. Yaani hapo huelewi kabisa hapo. Fanya uone. Au ulitaka niandike notes hapa. Hivyo ndo ilivyo.Mawazo mgando tu, kama uwez kuchangia mada bs
Kaa kimya tu sasa huu ni mchanganuo gani??
Pekua vizuri, pekua vizuri.. watu wanaendesha Biashara zenye faida ya over 100% HUKO17% 20% hii ratio ya faida bado ipo juu sana, japo zipo zinazozidi hapo lakini biashara nyingi ratio ni 5% to 8%.
Ukipata biashara inayokupa ratio ya 20% hiyo sio ya kuiacha. Ni faida nzuri