Biashara tofauti za kuniingizia 50,000/= kwa siku

Dah mnakatisha tamaa vijana ambao ndio wanataka kuanza biashala ya chips yani mtaji uwe 4mil hapo labda inafanyika kaliakoo ila sisi wengine tumeifanya na tunaijua
Si vibaya ukitupatia huo uzoefu na mbinu
 
Uza chips na mayaaai au viaazzi vya kukaanga au miiihogo ya kuchoma na mishkkaki
 
Tafuta meza maeneo yenye junction au karibu na kituo cha daladala, (eneo lililochangamka kama Mbagala, Buguruni etc).

Nenda ferry kanunue Pweza, ngisi na kamba. Wapike kwa ustadi wa hali ya juu, tumia akili zote kuja na kitu kinachovutia. Uza Supu ya pweza etc, nakuhakilishia, utapata faida zaidi ya 25% ya mtaji wako!

Ukishapata uzoefu, fanya branding kabisa, tafuta kibanda kidogo, kitengeneze vizuri, weka bango andika supu ya pweza! Utapata wateja wa kutosha sana!
 
Ndugu zangu nashukuru kwa michango yenu mizuri, mimi nilikuwa nalenga kupata biashara ambazo naweza kumpa mtu akafanya mm nikiwa napata faida yangu ya kila siku ambapo muda wangu wakwenda kuisimamia ni weekend .Nilitaka angalau nipate biashara tofauti za mtaji wa kawaida ambapo kwa siku faida nayoweza kupata kwa biashara zote angalau kuanzia hamsini.

Nilifikiria nitafute mtu ninaemuamini nimpe mradi wa kuuza juice ya miwa nayeye kila siku ananipa faida yangu ila sijajua mtaji wake kiasi gani.Sasa miradi nyingne yenye mtaji mdogo ambayo mtu atanipa maingizo yangu kila siku bila kusimamiwa sanaaaa .Naomba mjikite hapo kunisaidia ndugu zangu.

Mm huku ni mwajiliwa wa serikali ni mwlm nipo kijijini ,nikafikiria namna ya kuingiza 1,500,000/= kwa mwezi ambapo nikafikiria kupata miradi ya mtaji midogo ambayo hatimae nitaingiza kiasi cha fedha hiyo.
 
Faida au hasara itategemea na huyo utakaye muweka kwenye ofisi yako
 
17% 20% hii ratio ya faida bado ipo juu sana, japo zipo zinazozidi hapo lakini biashara nyingi ratio ni 5% to 8%.
Ukipata biashara inayokupa ratio ya 20% hiyo sio ya kuiacha. Ni faida nzuri
 
Naomba kujua biashara unayofanya sasa hivi na mtaji wake.
 
Dah mnakatisha tamaa vijana ambao ndio wanataka kuanza biashara ya chips yani mtaji uwe 4mil hapo labda inafanyika Kariakoo ila sisi wengine tumeifanya na tunaijua
Hivi unajua kataja biashara ngapi na za ubora upi hapo?
 
Kiukweli umeongea kitu nimejifunza jamba sio tunataka faida fulan lazma tujue tunauza shingapi kwasiku
 
Umesahau km Machinga hawatakiw
 
17% 20% hii ratio ya faida bado ipo juu sana, japo zipo zinazozidi hapo lakini biashara nyingi ratio ni 5% to 8%.
Ukipata biashara inayokupa ratio ya 20% hiyo sio ya kuiacha. Ni faida nzuri
ukweli upo hapa ingawa wengi hawatakagi kuamuni hii kitu.
 
Mawazo mgando tu, kama uwez kuchangia mada bs
Kaa kimya tu sasa huu ni mchanganuo gani??
Unataka niyagandue vipi. Yaani hapo huelewi kabisa hapo. Fanya uone. Au ulitaka niandike notes hapa. Hivyo ndo ilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…