Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

Kujua itagemeana na wepesi wa mwanafunzi.
Ila normal ndani ya miezi sita unakuwa umekwiva. Mengine ni ukakamavu na mazoezi.
Alafu mazoezi ndio huchukua muda mrefu kuliko Skills za mapigwa
Ni wapi wanafundisha KUNG-FU hyo ndo nataka nijifunze na mm sitaki mazoezi nataka skills tu, mazoezi nafanya kila siku
 
Ni wapi wanafundisha KUNG-FU hyo ndo nataka nijifunze na mm sitaki mazoezi nataka skills tu, mazoezi nafanya kila siku
Kaka nikwambie tu ukweli kuhusu martial arts:-
Mimi nacheza karate style ya Shotokan Shirikisho la West Coast.
1. Hakuna martial arts utakayo train Kwa miezi sita tu na kupewa leseni ya ukufunzi ( sensei Kwa karate). Hata boxing inahitaji muda kuimudu Kwa ujuzi wake.
2. Self defense skills ni rahisi na unaweza ku train Kwa muda mufupi lakini siyo effective kwani hazina mifumo rasmi. Ieleweke kuwa karate, taikondo, judo, kungfu n.k Zina mtiririko wake wa kimafunzo ambamo ndimo selfu defense halisi imo.
3. Huwezi ku train martial arts Kwa muda wa miezi kadhaa na kupewa ruhusa ya kutoa mafunzo, big NO!
 
Maelezo mazuri, ila mimi nataka kujifunza tu binafsi sina mpango wa kuwa mwalimu itanilazimu kuchukua km mda gani kuwa vizuri kwnye martial arts hasa KungFu
 
Maelezo mazuri, ila mimi nataka kujifunza tu binafsi sina mpango wa kuwa mwalimu itanilazimu kuchukua km mda gani kuwa vizuri kwnye martial arts hasa KungFu
Kuanzia miaka miwili na kuendelea unaweza kumudu kujilinda na kushambulia adui.

Kama huna muda wa kutosha nakushauri kajifunze Boxing au kickboxing, hizi uta train ndani ya miezi sita na kuwa fit kuzichapa za fasta fasta.
 
Pumba tupu.
 
Hiyo namba 11 naiweza vizuri Nina sauti na kipaji,sema muda ni mchache!!
 
Hiyo namba 7 hapana Mkuu..sio KIRAHISI hivyo.
 
Naitamai sana ya saloon ya kiume.
Shida kijana akishaanza kupata hela anaanza kupiga miti wanafunzi na akili yote inaamia kwenye miti tu na kula chips mayai na hasa ukiwachukua hawa vijana wa mwaka 2000 hela yote itaishia kwenye kupima oil
 
Kweli Mkuu, 100%
 
Saluni za Kiume Nenda Zenji au kwa wakongomani, Usituletee Huo Upuuzi bara, Japo najua zimeshaingia.
 
Uzi mzuri Sana .

Ila pia kwa wale vijana ambao hawana mtaji Ila Ana smartphone anaweza kuwa affiliating marketer.

Unatafuta Kampuni zako Kama 03 zinauza Fast moving products kama

Mfano kampuni

Zinazouza Mabati
Zinazouza bajaji na pikipiki
Zinazouza Magari n.k

Ukimaliza wewe unakuwa unawatafutia wateia na malipo mnalipana kwa Cammission.

Mfano ukiuza pikipiki moja unapata 200K na bajaji 350-400K

Kwahiyo wewe unakuwa unatangaza kupitia mitandao FB, IG, Ticktock , X Jiji n.k
 
Sahihi Kabisa Mkuu
Ingawaje sio kazi ya siku moja kupata fedha kama ilivyo kwa kazi zingine. Lakini kuanza ni hatua
 
3. Biashara ya maziwa!
Nunua Friza la kati 450k, nunua madumu au ndoo ya maziwa au gallon 150,000/= bajeti za umeme kwa mwezi weka 100,000/= bajeti za matangazo mtandaoni kwa mwezi weka 100,000/= piga pesa.
Hii ni moja ya biashara ngumu sana inahitaji Ubunifu wa hali ya juu maana siku hizi watu hawayapendi maziwa ya kawaida haya
 
Hii ni moja ya biashara ngumu sana inahitaji Ubunifu wa hali ya juu maana siku hizi watu hawayapendi maziwa ya kawaida haya
Maziwa ya sasa yana SUMU SANA, HAWA wafugaji wetu wanaojifunza ufugaji kupitia FACEBOOK WANAWAUWENI, same thing with KUKU WA KISASA, USIGUSE.... Yaani mimi sikumbuki last time nilikunywa Maziwa au Kuku wa Kisasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…