Biashara United aliwafunga hao waarabu Koko wakiwa wamoto vibaya mno,Leo nyie mnawafunga wakiwa wamejichokea mnashangalia

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!

Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!

Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!

Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!

MUDA UTASEMA
unadhani MUNGU shemeji yako?tulia we afisa usafirishaji
 
Technically bila upendeleo wowote Yanga ingecheza na timu iliyocheza na simba leo, Yanga wangefungwa siyo chini ya goli 5
This is rubbish kwani hujui kama kuna ups and down kila mara ?
Hao biashara leo wako wapi?
Mashabiki wa uto mna maandiko ya kiwaki sana mwenzako alianzisha uzi Simba ikifungwa apigwe BAN na Simba haijafungwa na Yeye anaitumikia BAN sasa hivi. Jifunzeni kuwa fair hizi chuki na hasira ziwekeni kwenye mambo mengine
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!

Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!

Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!

Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!

MUDA UTASEMA
Unateseka ukiwa wapi?, yaani mmeumia kuliko wajukuu wa Gadaf
 
Hakuna kitu kama icho tuweke kumbukumbu sawa hao walio cheza na biashara united nusu ya wachezaji wao walikua na corona hivyo game ikawa mseleleko kwa biashara
 
Mkuu usitake kila mtu aamini kuwa hujui mpira, wakati mwingine ongea facts acha ushabiki.
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!

Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!

Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!

Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!

MUDA UTASEMA
Andaa ndimu na maembe mabichi maana utapata mimba ya magoli siku hiyo hutaamini ....chezea simba weye ...tunakuchapa tatu tu kazi yako itakua kutema mate na kulamba ndimu🤣🤣🤣🤣
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!

Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!

Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!

Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!

MUDA UTASEMA
Mwanaume anayetafuta attention huyo ni mwanamke
 
This is rubbish kwani hujui kama kuna ups and down kila mara ?
Hao biashara leo wako wapi?
Mashabiki wa uto mna maandiko ya kiwaki sana mwenzako alianzisha uzi Simba ikifungwa apigwe BAN na Simba haijafungwa na Yeye anaitumikia BAN sasa hivi. Jifunzeni kuwa fair hizi chuki na hasira ziwekeni kwenye mambo mengine
Mwanangu uwe unaangalia umemquote nani nisije nikakuletea noma ukasema warusi ni wakorofi
 
Back
Top Bottom