unadhani MUNGU shemeji yako?tulia we afisa usafirishajiNsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
MUDA UTASEMA
Yanga labda ifungwe na mahakamaTechnically bila upendeleo wowote Yanga ingecheza na timu iliyocheza na simba leo, Yanga wangefungwa siyo chini ya goli 5
RIVERS ALIKUKANDA NJE NDANI KIBONDE MAJI WEWE.A.K.A CHURA MJANE.Yanga labda ifungwe na mahakama
This is rubbish kwani hujui kama kuna ups and down kila mara ?Technically bila upendeleo wowote Yanga ingecheza na timu iliyocheza na simba leo, Yanga wangefungwa siyo chini ya goli 5
Unateseka ukiwa wapi?, yaani mmeumia kuliko wajukuu wa GadafNsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
MUDA UTASEMA
Unafikiri wale CBE wanafunzi wa darasa la pili C?.Technically bila upendeleo wowote Yanga ingecheza na timu iliyocheza na simba leo, Yanga wangefungwa siyo chini ya goli 5
Andaa ndimu na maembe mabichi maana utapata mimba ya magoli siku hiyo hutaamini ....chezea simba weye ...tunakuchapa tatu tu kazi yako itakua kutema mate na kulamba ndimu🤣🤣🤣🤣Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
MUDA UTASEMA
Mwanaume anayetafuta attention huyo ni mwanamkeNsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana hatutaki visingizio siku hiyo!
Zikipungua sana siku hiyo zitakuwa 5!
MUDA UTASEMA
Shangaa na wewe.😂Ulitaka tulie
Mwanangu uwe unaangalia umemquote nani nisije nikakuletea noma ukasema warusi ni wakorofiThis is rubbish kwani hujui kama kuna ups and down kila mara ?
Hao biashara leo wako wapi?
Mashabiki wa uto mna maandiko ya kiwaki sana mwenzako alianzisha uzi Simba ikifungwa apigwe BAN na Simba haijafungwa na Yeye anaitumikia BAN sasa hivi. Jifunzeni kuwa fair hizi chuki na hasira ziwekeni kwenye mambo mengine
CBE jinsi wanavyocheza ni kama kikundi cha vijana wa panya rodi wamevalishwa jezi bila mazoezi yoyoteUnafikiri wale CBE wanafunzi wa darasa la pili C?.