miminimkulimaakachekasana
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,263
- 4,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshaanza kubaguana mapema namna hii?kumbe ndio maana umemkataa yule wa GPA 32 Kwa sababu ya Kabila lake la Kijita.Wataanza kutoa kejeli kama hawatakua wanashirikishwa
Afu kibaya wengi ni wajita majungu tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa Mwl mugisha Garibona kama cjakosea Niko tayar kurekebishwa"E="kuku mweus, post: 28068553, member: 490171"]Wataanza kutoa kejeli kama hawatakua wanashirikishwa
Afu kibaya wengi ni wajita majungu tupu
Hasa yule Mwalimu aliye ipandisha, japo amepewa nafasi katika bench la ufundi, lakini anaonekana hakubaliani na hilo, asipo dhibitiwa ataanza kuingilia majukumu ya Mwalimu...
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] we ulishaona wapi GPA ya 32 wajita bhanaMshaanza kubaguana mapema namna hii?kumbe ndio maana umemkataa yule wa GPA 32 Kwa sababu ya Kabila lake la Kijita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangekuwa hawana hela kina Makambo wangekujaje? Lile ni jungu kuu halikosi ukoko!
Sasa aliewaambia Biashara united wanahitaji michango ni nani?Wangekuwa hawana hela kina Makambo wangekujaje? Lile ni jungu kuu halikosi ukoko!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hifadhi hii comment yako,kabla ya mzunguko wa kwanza kuisha uje tena hapa kuikana
Hapana mkuu, mimi ni ni wale first born wa Paroma.
Ila inawezekana tunafahamiana, mji mdogo ule!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu brother Eng. Shuku Otieno tumpe cheo gani?