Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa ila Mtukufu ni Mungu pekee.Nipo Dar mtukufu wangu ofisi ukitaka kufika ni hapa maeneo ya mikocheni karibia na shoppers tukiwasiliana nitakuelekeza.
Hilo jengo liko wapiHizi ni baadhi ya kazi kubwa tulizofanya na makampuni makubwa. View attachment 2817592View attachment 2817591View attachment 2817590View attachment 2817593View attachment 2817594View attachment 2817595View attachment 2817597View attachment 2817598View attachment 2817596
Unakosea sana na pia unakufuru au wewe ni mkristo?Dah kwenye biashara wewe ndie mtukufu wangu naomba unisamehe kwa kukutukuza namna hii mtukufu wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwa ile clear yenye vipimo hivi bei zake zikoje?Si ile kama ya Bank ile milango ya kioo yenye door handle ?
Itabidi nipate vipimo vya eneo lako na idadi ya milango mtukufu.
Samahani sana kwa kuchelewa kuiona comment yako mkuu. Naomba nikupe mrejesho wa gharama za hivi vipimo haraka sana.kwa ile clear yenye vipimo hivi bei zake zikoje?
1. 200*102
2. 200*106
3. 200*108
4. 200*126.5
note: vipimo viko katika sentimita.
Naona bado unapiga hesabu mpaka sasaNakurejea mkuu. Naomba nikupigie hesabu.