Biashara ya Aluminum na accessories zake.

Habari zenu wadau.

Karibuni tufanye biashara ya Aluminum na accessories zake. Details zake ni kama ifuatavyo.

Aluminum Profile

1. Size ya upana ni 10 CM (100 mm)
2. Profile thickness yaani unene wa layer ya aluminum ile bati ni 1.2 mm.
3. Rangi ya aluminum tulizo nazo ni
  • Nyeupe
  • Kijivu
  • Dark bronze (yaani kama rangi ya udongo hivi iliyokolea sana)

Pia tuna vioo ambavyo vina unene wa tofauti wa 5mm na 6 mm. Unaweza pata zenye tinted, zenye tinted ya kufunga upande m'moja na kuonyesha upande mwingine yaani one way tinted.

Bei yetu ni 215,000/- kwa square meter moja yaani futi tatu za negotiable kulingana na idadi ya madirisha mangapi utataka kuassemble.

Popote ulipo tutakufikia kwa vipimo na kufitisha bidhaa unayotaka aidha mlango, madirisha au partitions.

Karibuni sana mikoani mnakaribishwa sana. Na kama una ndugu yako anataka huduma kwaajiri ya nyumba yake au nyumba zake za makazi za kawaida, ghorofa kubwa za hotels au maofisi au eneo la ofisi atapata huduma bila shida karibuni sana unaweza nipa namba yako inbox na kama una maswali unaweza uliza hapa au hata inbox toa shaka.

Kwa wale mnaohitaji kwa bei ya jumla ya kiwandani kwaajiri ya biashara zenu then toa wasi wasi mtapata mzigo bila shida karibu ni sana.
Hivi maelezo yote haya hujaweka namba ya simu?Kwa nini?
 
Kumradhi mkuu nilikuwa nashughulikia usajiri wa namba ya ofisi yangu naweza kutumia ila soon ya ofisi itakuwa tayari.
 
kwa ile clear yenye vipimo hivi bei zake zikoje?

1. 200*102
2. 200*106
3. 200*108
4. 200*126.5

note: vipimo viko katika sentimita.
Mkuu, naomba kufahamu, unataka ile frameless au yenye flame?

Na je unahitaji kioo cha unene wa millimeters ngapi nahitaji kufahamu ili nikupatie quotation sahihi ya bei kulingana na vipimo vyako?
 
Kumradhi mkuu nilikuwa nashughulikia usajiri wa namba ya ofisi yangu naweza kutumia ila soon ya ofisi itakuwa tayari.
Sasa si ungeweka number yenye iko available Kwa sasa ili upigiwe?

Yaani number hakuna na huku JF haupo mara kwa mara, mbona unafanya biashara kizamani bro?
 
Habari zenu wadau.

Karibuni tufanye biashara ya Aluminum na accessories zake. Details zake ni kama ifuatavyo.

Aluminum Profile

1. Size ya upana ni 10 CM (100 mm)
2. Profile thickness yaani unene wa layer ya aluminum ile bati ni 1.2 mm.
3. Rangi ya aluminum tulizo nazo ni
  • Nyeupe
  • Kijivu
  • Dark bronze (yaani kama rangi ya udongo hivi iliyokolea sana)

Pia tuna vioo ambavyo vina unene wa tofauti wa 5mm na 6 mm. Unaweza pata zenye tinted, zenye tinted ya kufunga upande m'moja na kuonyesha upande mwingine yaani one way tinted.

Bei yetu ni 215,000/- kwa square meter moja yaani futi tatu za negotiable kulingana na idadi ya madirisha mangapi utataka kuassemble.

Popote ulipo tutakufikia kwa vipimo na kufitisha bidhaa unayotaka aidha mlango, madirisha au partitions.

Karibuni sana mikoani mnakaribishwa sana. Na kama una ndugu yako anataka huduma kwaajiri ya nyumba yake au nyumba zake za makazi za kawaida, ghorofa kubwa za hotels au maofisi au eneo la ofisi atapata huduma bila shida karibuni sana unaweza nipa namba yako inbox na kama una maswali unaweza uliza hapa au hata inbox toa shaka.

Kwa wale mnaohitaji kwa bei ya jumla ya kiwandani kwaajiri ya biashara zenu then toa wasi wasi mtapata mzigo bila shida karibu ni sana.
Boss fungua website, iwe na details zote za kazi zako, huduma zako, bei na Kila kitu anachohitaji kujua mteja, pia address na simu ya bishara yako lazima ijulikane, unachofanya hakuna mtu serious atafanya kazi na wewe hata kama unatoa hizo huduma
 
Very low minded person,hapo udini unaingiaje? 🖕
Mimi na wewe kuna utofauti mkubwa sana hivi unaposema udini unamaanisha nini? Unataka huyu mpuuzi akufuru halafu nimuache tu?kwa mujibu wa imani yangu mtukufu ni Mungu pekeyake
 
Jina lako limekaa kimakonde sana pia wewe ni MSHAMBA
Ni kweli mimi ni mmakonde na ninajivunia mno kuwa mmakonde je wewe ni kabila gani? Na nikuambie kitu kimoja mimi sio mshamba ila nimeongea hivyo kwasababu wakristo ndio wenye tabia hiyo ya kukufuru
 
Sasa si ungeweka number yenye iko available Kwa sasa ili upigiwe?

Yaani number hakuna na huku JF haupo mara kwa mara, mbona unafanya biashara kizamani bro?
Nisamehe mkuu. Nitaweka nakamilisha very soon. Nitaweka hapa. Nipe hii wiki. Unajua ukiweka namba ya kawaida ambayo si ya ofisi inakuwa ngumu kuwasiliana na wateja vema maana unashindwa jua namba mpya ni ya nani.

But namba ikiwa ya ofisi simu inapoita automatically nakuwa najua ni maswala ya kazi hayo sio simu personal.

So nakamilisha within this week nitaedit uzi itakuwapo.
 
Boss fungua website, iwe na details zote za kazi zako, huduma zako, bei na Kila kitu anachohitaji kujua mteja, pia address na simu ya bishara yako lazima ijulikane, unachofanya hakuna mtu serious atafanya kazi na wewe hata kama unatoa hizo huduma
Asante kwa ushauri wako nimeupenda sana na ninaufanyia kazi. Actually umenipa key areas za kuongezea. So thank you, i appreciate this. Pia nitaomba kama unaweza nishauri zaidi hilo eneo uniwekee hapa na wengine wapate kushare ya ziada.
 
Mimi na wewe kuna utofauti mkubwa sana hivi unaposema udini unamaanisha nini? Unataka huyu mpuuzi akufuru halafu nimuache tu?kwa mujibu wa imani yangu mtukufu ni Mungu pekeyake
Sijatumia neno Mtukufu kumaanisha MUNGU bali nimemaanisha mtu ninayekunasibu kwa heshima eneo la biashara kama vile mfalme.

Kumbuka hata wafalme huwa ni watukufu. Na kuna msemo kwenye vitabu vya MUNGU unasema ya kaisari mpe kaisari na ya MUNGU mpe MUNGU, kumaanisha kuna utukufu wa ki' MUNGU na kuna utukufu wa kiulimwengu.

Wazazi wako, mtoto wako mchanga, mkeo na kadhalika wanaweza kuwa watukufu wako tukiwanasibu kibinadamu na sio ki'MUNGU.

So usiwazie vibaya mkuu, sawa?
 
Mimi na wewe kuna utofauti mkubwa sana hivi unaposema udini unamaanisha nini? Unataka huyu mpuuzi akufuru halafu nimuache tu?kwa mujibu wa imani yangu mtukufu ni Mungu pekeyake
Sasa kwanini ulitaja imani ya wengine na si yako?
 
Back
Top Bottom