Biashara ya Aluminum na accessories zake.

Biashara ya Aluminum na accessories zake.

Sijatumia neno Mtukufu kumaanisha MUNGU bali nimemaanisha mtu ninayekunasibu kwa heshima eneo la biashara kama vile mfalme.

Kumbuka hata wafalme huwa ni watukufu. Na kuna msemo kwenye vitabu vya MUNGU unasema ya kaisari mpe kaisari na ya MUNGU mpe MUNGU, kumaanisha kuna utukufu wa ki' MUNGU na kuna utukufu wa kiulimwengu.

Wazazi wako, mtoto wako mchanga, mkeo na kadhalika wanaweza kuwa watukufu wako tukiwanasibu kibinadamu na sio ki'MUNGU.

So usiwazie vibaya mkuu, sawa?
Najua lengo uuze biashara yako ila hebu nikuambie kitu kimoja usichupe mipaka kisa pesa mtukufu nì Mungu pekeyake hata Yesu tu alikataa kuitwa Mwema
 
Please waweza kunipigia mahesabu ya Aluminium kwa nyumba yangu. Then tutaongea tuone itakuwaje. piga bei ya emilite
1. 995 x 1725=
2. 1310 x 1730=
3. 775 x 1770=
4. 592 x 512=
5. 845 x 1725=
6. 1470 x 1710=
7. 940 x 1715=
8. 1465 x 1760=
9. 1470 x 1740=
10. 1460 x 1755=
11. 525 x 470=
 
Back
Top Bottom