Wakuu habari za usiku huu, poleni na majukumu
Niende kwenye mada, mimi ni mfanya biashara mdogo mdogo ila sio mdogo sana, nina mda sasa nafanya biashara ya asali nauza Dar na Zanzibar namshukuru MUNGU biashara inaendelea vizuri
Ningependa kupeleka ASALI KOMORO kunamtu anajua soko lake huko komoro likoje? Atiririke hapa atueleze
Asante
Asali ya tabora ina nikotin sababu ya nyuki wanaotoka kwenye mashamba ya tumbaku,haifai kwa matumiziNina dumu Za asali Nipo Tabora bora mkuu niunganishe mkuu [emoji1545]
Kwa maana hiyo vasi asali ya Afghanistan itakuwa imevunja rekodi kwa bei! 😃😃😃Asali ya tabora ina nikotin sababu ya nyuki wanaotoka kwenye mashamba ya tumbaku,haifai kwa matumizi
Makubwa eheeAsali ya tabora ina nikotin sababu ya nyuki wanaotoka kwenye mashamba ya tumbaku,haifai kwa matumizi
Acha uboya basi asali miaka na miaka inatumika so unataka kusema Tabora kwa wagonjwa wa kifua kikuuu ama?Asali ya tabora ina nikotin sababu ya nyuki wanaotoka kwenye mashamba ya tumbaku,haifai kwa matumizi
dumu ngapi? lita ngpna bei jeNina dumu Za asali Nipo Tabora bora mkuu niunganishe mkuu [emoji1545]
Wana upemba ndani yao hawa.Mkuu Comoro kuna soko zuri la kila kitu. Fikiria wewe hawa watu wananunua mpaka Azam Cola zinasafirishwa kwenda kule. Tatizo la Comoro ni kuwa biashara wafanye wao wenyewe tu na sio wewe mgeni kule kwao. Hawana ushirikiano mzuri kwa wafanyabiashaea wageni. Hii ni taarifa ya kuaminika kutoka kwa Watanzania wenye asili ya kule!
Au chonile?Mi naona ni bora ukafika Comoro mkuu ukacheki hali halisi niliwahi sikia mtu anazungumza kuna soko kubwa la asali alikuwa anatokea Inyonga,Mlele Katavi.
Hakuna ushahidi wa kitaalamu hapo au tuwekee mkuuAsali ya tabora ina nikotin sababu ya nyuki wanaotoka kwenye mashamba ya tumbaku,haifai kwa matumizi
Aisee [emoji38] [emoji23]Kwa maana hiyo vasi asali ya Afghanistan itakuwa imevunja rekodi kwa bei! [emoji2][emoji2][emoji2]