Biashara ya asali nchi ya Komoro

Biashara ya asali nchi ya Komoro

Buntungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
549
Reaction score
307
Wakuu habari za usiku huu, poleni na majukumu

Niende kwenye mada, mimi ni mfanya biashara mdogo mdogo ila sio mdogo sana, nina mda sasa nafanya biashara ya asali nauza Dar na Zanzibar namshukuru MUNGU biashara inaendelea vizuri

Ningependa kupeleka ASALI KOMORO kunamtu anajua soko lake huko komoro likoje? Atiririke hapa atueleze

Asante
 
Kwa nini Komoro kati ya nchi/visiwa vingine Africa?
 
Nina dumu Za asali Nipo Tabora bora mkuu niunganishe mkuu [emoji1545]
 
Wakuu habari za usiku huu, poleni na majukumu

Niende kwenye mada, mimi ni mfanya biashara mdogo mdogo ila sio mdogo sana, nina mda sasa nafanya biashara ya asali nauza Dar na Zanzibar namshukuru MUNGU biashara inaendelea vizuri

Ningependa kupeleka ASALI KOMORO kunamtu anajua soko lake huko komoro likoje? Atiririke hapa atueleze

Asante

Tabora kwa dumu wananunua sh ngapi
 
Mi naona ni bora ukafika Comoro mkuu ukacheki hali halisi niliwahi sikia mtu anazungumza kuna soko kubwa la asali alikuwa anatokea Inyonga,Mlele Katavi.
 
Mkuu Comoro kuna soko zuri la kila kitu. Fikiria wewe hawa watu wananunua mpaka Azam Cola zinasafirishwa kwenda kule. Tatizo la Comoro ni kuwa biashara wafanye wao wenyewe tu na sio wewe mgeni kule kwao. Hawana ushirikiano mzuri kwa wafanyabiashaea wageni. Hii ni taarifa ya kuaminika kutoka kwa Watanzania wenye asili ya kule!
 
Asali ya tabora ina nikotin sababu ya nyuki wanaotoka kwenye mashamba ya tumbaku,haifai kwa matumizi
Acha uboya basi asali miaka na miaka inatumika so unataka kusema Tabora kwa wagonjwa wa kifua kikuuu ama?
 
Mkuu Comoro kuna soko zuri la kila kitu. Fikiria wewe hawa watu wananunua mpaka Azam Cola zinasafirishwa kwenda kule. Tatizo la Comoro ni kuwa biashara wafanye wao wenyewe tu na sio wewe mgeni kule kwao. Hawana ushirikiano mzuri kwa wafanyabiashaea wageni. Hii ni taarifa ya kuaminika kutoka kwa Watanzania wenye asili ya kule!
Wana upemba ndani yao hawa.
 
Back
Top Bottom