Ibnu uthaimin
Member
- Jul 22, 2020
- 23
- 22
Hiyo mitumba inatoka wapi?Habari zenu wadau. Naamini mupo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini badae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ilikuwa haukidhi kujisimamia kutokana na majukumu kadhaa. So ikiwa mtu anamtaji wa biashara anaweza kuwasiliana na mimi tuyapange mimi nitakuwa kama muuzaji na mshauri wa manunuzi. Soko lipo zuri hpa. Asanten
Dubei😅😅Hiyo mitumba inatoka wapi?
Elezea vizuri uko Zanzibar wateja wako ni mobile au una flemu?Habari zenu wadau. Naamini mupo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini badae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ilikuwa haukidhi kujisimamia kutokana na majukumu kadhaa. So ikiwa mtu anamtaji wa biashara anaweza kuwasiliana na mimi tuyapange mimi nitakuwa kama muuzaji na mshauri wa manunuzi. Soko lipo zuri hpa. Asanten
Fremu ninayo na pia ni mobile coz ikitokea ni bales kwanza nafungua napiga pasi then zile ambazo ni mzuri naweka dukani kwa siku mbili adi tatu kwa mauzo ya dukan kurejesha pesa ya mzigo then zilobakiza naenda nazo mjini ambapo nipo na kikuta nafanya mauzo pia zikibaki ronya napiga sale..zikiwa baibui za kupoint bas nakuw naweka dukani na pia mjini kusimamia beiElezea vizuri uko Zanzibar wateja wako ni mobile au una flemu?
Manunuzi, mauzo na faida ikoje? weka mchanganuo ili mtu apime kama anaweza kutumbukiza pesa yake.
Faida iko vipi, mfano mzigo wa million 1 jumla ya mauzo unaingiza shilling ngapi na Kwa muda gani?Fremu ninayo na pia ni mobile coz ikitokea ni bales kwanza nafungua napiga pasi then zile ambazo ni mzuri naweka dukani kwa siku mbili adi tatu kwa mauzo ya dukan kurejesha pesa ya mzigo then zilobakiza naenda nazo mjini ambapo nipo na kikuta nafanya mauzo pia zikibaki ronya napiga sale..zikiwa baibui za kupoint bas nakuw naweka dukani na pia mjini kusimamia bei
Itategemea umechukua vipi mzigo kama ukichukua baibui za kupoint ambazo zinauzwa elfu 17 mpaka 20 bas kwenye milion moja unapata baibui 50-60 ambazo unawez kuuza kwa elfu 25 inawez kuzidi hpo kulingan na kipindi but baibui 50-60 wiki zimeisha na belo zinakuw haziaminik sana unaweza kukata mzgo ukaw mzur au ukakupiga ukitok mzur unawez piga faida ad laki tat kwa belo ukiw mbaya unaweza urejeshe pesa au ukakulisha hasar na maux kwa beli moj pia inachukuw ad wiki kumlzika kukingn na nzgo ulivoFaida iko vipi, mfano mzigo wa million 1 jumla ya mauzo unaingiza shilling ngapi na Kwa muda gani?
Kwa mfano kwa uzoefu wako wa hiyo kazi unajua mzunguko wa hizo nguo, mtu akiweka 5m atarajie kupata ngapi kwa kila wiki?Fremu ninayo na pia ni mobile coz ikitokea ni bales kwanza nafungua napiga pasi then zile ambazo ni mzuri naweka dukani kwa siku mbili adi tatu kwa mauzo ya dukan kurejesha pesa ya mzigo then zilobakiza naenda nazo mjini ambapo nipo na kikuta nafanya mauzo pia zikibaki ronya napiga sale..zikiwa baibui za kupoint bas nakuw naweka dukani na pia mjini kusimamia bei
Hizo belo zinapatikana haraka au za kusubolia mpaka mzigo ushushwe?Itategemea umechukua vipi mzigo kama ukichukua baibui za kupoint ambazo zinauzwa elfu 17 mpaka 20 bas kwenye milion moja unapata baibui 50-60 ambazo unawez kuuza kwa elfu 25 inawez kuzidi hpo kulingan na kipindi but baibui 50-60 wiki zimeisha na belo zinakuw haziaminik sana unaweza kukata mzgo ukaw mzur au ukakupiga ukitok mzur unawez piga faida ad laki tat kwa belo ukiw mbaya unaweza urejeshe pesa au ukakulisha hasar na maux kwa beli moj pia inachukuw ad wiki kumlzika kukingn na nzgo ulivo
Itatgmea na eneo coz km zanzibar wavaaji wa baibui ni weng so ukiw mjuz wa hyo biashar na kuw na eneo mahal pazur kwa 5M unaweza kutengeneza 400k kwa wiki minimumKwa mfano kwa uzoefu wako wa hiyo kazi unajua mzunguko wa hizo nguo, mtu akiweka 5m atarajie kupata ngapi kwa kila wiki?
Belo zinakuwepo but kupata belo ambazo ziko vzr nd kipengele km sio mjuz wa mizgo thus why belo mda mwengn zinakuw na shotHizo belo zinapatikana haraka au za kusubolia mpaka mzigo ushushwe?
Hiyo biashara inaoneka kua nzuri ila tatizo lipo kwenye dhamana na wakika wa hiyo pesa kutopotea, si unajua vijana wa kitanzania maelezo mengi visababu vingi Khaaa wanakatisha tamaa.Itatgmea na eneo coz km zanzibar wavaaji wa baibui ni weng so ukiw mjuz wa hyo biashar na kuw na eneo mahal pazur kwa 5M unaweza kutengeneza 400k kwa wiki minimum
Wewe ukishakua tayari niambie tuyapange mkuu. Hapotaharibika kituHiyo biashara inaoneka kua nzuri ila tatizo lipo kwenye dhamana na wakika wa hiyo pesa kutopotea, si unajua vijana wa kitanzania maelezo mengi visababu vingi Khaaa wanakatisha tamaa.
Balo Zanzibar ni bei ganiItategemea umechukua vipi mzigo kama ukichukua baibui za kupoint ambazo zinauzwa elfu 17 mpaka 20 bas kwenye milion moja unapata baibui 50-60 ambazo unawez kuuza kwa elfu 25 inawez kuzidi hpo kulingan na kipindi but baibui 50-60 wiki zimeisha na belo zinakuw haziaminik sana unaweza kukata mzgo ukaw mzur au ukakupiga ukitok mzur unawez piga faida ad laki tat kwa belo ukiw mbaya unaweza urejeshe pesa au ukakulisha hasar na maux kwa beli moj pia inachukuw ad wiki kumlzika kukingn na nzgo ulivo