Biashara ya baibui(abaya) za mtumba

Biashara ya baibui(abaya) za mtumba

Ibnu uthaimin

Member
Joined
Jul 22, 2020
Posts
23
Reaction score
22
Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini baadae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ulikuwa haukidhi kujisimamia kutokana na majukumu kadhaa.

So ikiwa mtu ana mtaji wa biashara anaweza kuwasiliana na mimi tuyapange, mimi nitakuwa kama muuzaji na mshauri wa manunuzi. Soko lipo zuri hapa. Asanteni
 
Habari zenu wadau. Naamini mupo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini badae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ilikuwa haukidhi kujisimamia kutokana na majukumu kadhaa. So ikiwa mtu anamtaji wa biashara anaweza kuwasiliana na mimi tuyapange mimi nitakuwa kama muuzaji na mshauri wa manunuzi. Soko lipo zuri hpa. Asanten
Hiyo mitumba inatoka wapi?
 
Elezea vizuri uko Zanzibar wateja wako ni mobile au una flemu?

Manunuzi, mauzo na faida ikoje? weka mchanganuo ili mtu apime kama anaweza kutumbukiza pesa yake.
 
Fremu ninayo na pia ni mobile coz ikitokea ni bales kwanza nafungua napiga pasi then zile ambazo ni mzuri naweka dukani kwa siku mbili adi tatu kwa mauzo ya dukan kurejesha pesa ya mzigo then zilobakiza naenda nazo mjini ambapo nipo na kikuta nafanya mauzo pia zikibaki ronya napiga sale..zikiwa baibui za kupoint bas nakuw naweka dukani na pia mjini kusimamia bei
 
Faida iko vipi, mfano mzigo wa million 1 jumla ya mauzo unaingiza shilling ngapi na Kwa muda gani?
 
Itategemea umechukua vipi mzigo kama ukichukua baibui za kupoint ambazo zinauzwa elfu 17 mpaka 20 bas kwenye milion moja unapata baibui 50-60 ambazo unawez kuuza kwa elfu 25 inawez kuzidi hpo kulingan na kipindi but baibui 50-60 wiki zimeisha na belo zinakuw haziaminik sana unaweza kukata mzgo ukaw mzur au ukakupiga ukitok mzur unawez piga faida ad laki tat kwa belo ukiw mbaya unaweza urejeshe pesa au ukakulisha hasar na maux kwa beli moj pia inachukuw ad wiki kumlzika kukingn na nzgo ulivo
 
Fremu ninayo na pia ni mobile coz ikitokea ni bales kwanza nafungua napiga pasi then zile ambazo ni mzuri naweka dukani kwa siku mbili adi tatu kwa mauzo ya dukan kurejesha pesa ya mzigo then zilobakiza naenda nazo mjini ambapo nipo na kikuta nafanya mauzo pia zikibaki ronya napiga sale..zikiwa baibui za kupoint bas nakuw naweka dukani na pia mjini kusimamia bei
Kwa mfano kwa uzoefu wako wa hiyo kazi unajua mzunguko wa hizo nguo, mtu akiweka 5m atarajie kupata ngapi kwa kila wiki?
 
Itategemea umechukua vipi mzigo kama ukichukua baibui za kupoint ambazo zinauzwa elfu 17 mpaka 20 bas kwenye milion moja unapata baibui 50-60 ambazo unawez kuuza kwa elfu 25 inawez kuzidi hpo kulingan na kipindi but baibui 50-60 wiki zimeisha na belo zinakuw haziaminik sana unaweza kukata mzgo ukaw mzur au ukakupiga ukitok mzur unawez piga faida ad laki tat kwa belo ukiw mbaya unaweza urejeshe pesa au ukakulisha hasar na maux kwa beli moj pia inachukuw ad wiki kumlzika kukingn na nzgo ulivo
Hizo belo zinapatikana haraka au za kusubolia mpaka mzigo ushushwe?
 
Kwa mfano kwa uzoefu wako wa hiyo kazi unajua mzunguko wa hizo nguo, mtu akiweka 5m atarajie kupata ngapi kwa kila wiki?
Itatgmea na eneo coz km zanzibar wavaaji wa baibui ni weng so ukiw mjuz wa hyo biashar na kuw na eneo mahal pazur kwa 5M unaweza kutengeneza 400k kwa wiki minimum
 
Hiyo biashara inaoneka kua nzuri ila tatizo lipo kwenye dhamana na wakika wa hiyo pesa kutopotea, si unajua vijana wa kitanzania maelezo mengi visababu vingi Khaaa wanakatisha tamaa.
 
Wewe ukishakua tayari niambie tuyapange mkuu. Hapotaharibika kitu
 
Itategemea umechukua vipi mzigo kama ukichukua baibui za kupoint ambazo zinauzwa elfu 17 mpaka 20 bas kwenye milion moja unapata baibui 50-60 ambazo unawez kuuza kwa elfu 25 inawez kuzidi hpo kulingan na kipindi but baibui 50-60 wiki zimeisha na belo zinakuw haziaminik sana unaweza kukata mzgo ukaw mzur au ukakupiga ukitok mzur unawez piga faida ad laki tat kwa belo ukiw mbaya unaweza urejeshe pesa au ukakulisha hasar na maux kwa beli moj pia inachukuw ad wiki kumlzika kukingn na nzgo ulivo
Balo Zanzibar ni bei gani
 
Back
Top Bottom