Ibnu uthaimin
Member
- Jul 22, 2020
- 23
- 22
Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla lakini baadae alisafiri na alowaachia hawakuwa na mashirikiano mazuri na mtaji wangu ulikuwa haukidhi kujisimamia kutokana na majukumu kadhaa.
So ikiwa mtu ana mtaji wa biashara anaweza kuwasiliana na mimi tuyapange, mimi nitakuwa kama muuzaji na mshauri wa manunuzi. Soko lipo zuri hapa. Asanteni
So ikiwa mtu ana mtaji wa biashara anaweza kuwasiliana na mimi tuyapange, mimi nitakuwa kama muuzaji na mshauri wa manunuzi. Soko lipo zuri hapa. Asanteni