Biashara ya bar

Biashara ya bar

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Khabari ya majukumu wakuu!! Nilikuwa nafikiria kuanzisha bar maeneo ya manzese, ninaomba maoni yenu kuhusu biashara hii kwa ujumla
 
Mkuu hii biashara ni nzuri kama una usimamizi mzuri.kwanza nikuambie bar ni kama mbwa anayekuwa ktk heat period anafanya midume ivuke vijiji au mitaa kadhaa imfuate vivyo hivyo kwa bar wateja si lazima wawe around the circcermumbier.cha msingi boresha huduma muhimu kama vile jiko choo kiwe safi.bar kwenye fixeds assets ndo inagharimu yan kama friji viti meza kuitengeneza counet n.k ila kama ni sehemu unakodi au hivyo vitu vipo basi kazi imekwisha kwan stock ya bar sio kubwa sana na faida ipo nzuri tu.nakushahuri tafuta wadada wazuri ila wachapa kazi wasio na malingo ya kijinga kwa wateja na kuwa na connection nzuri na Reps wa TBL na SBL kwaajiri ya kukufanyia mabonanza na mapromo waichafue bar kwa posters mwenyewe utaona.all the best
 
bar sasa ndiyo habari ya mjini , lakini lazima ufanane nayo uwe na wewe mnywaji kuipa mashamu shamu bar yako wanywaji wengi huwa wanafurahi wakiona na mwenye bar ni kama wao
 
Mkuu hii biashara ni nzuri kama una usimamizi mzuri.kwanza nikuambie bar ni kama mbwa anayekuwa ktk heat period anafanya midume ivuke vijiji au mitaa kadhaa imfuate vivyo hivyo kwa bar wateja si lazima wawe around the circcermumbier.cha msingi boresha huduma muhimu kama vile jiko choo kiwe safi.bar kwenye fixeds assets ndo inagharimu yan kama friji viti meza kuitengeneza counet n.k ila kama ni sehemu unakodi au hivyo vitu vipo basi kazi imekwisha kwan stock ya bar sio kubwa sana na faida ipo nzuri tu.nakushahuri tafuta wadada wazuri ila wachapa kazi wasio na malingo ya kijinga kwa wateja na kuwa na connection nzuri na Reps wa TBL na SBL kwaajiri ya kukufanyia mabonanza na mapromo waichafue bar kwa posters mwenyewe utaona.all the best

Mkuu nimekupata in and out, kiukweli nipo so interested with it na kama ulivyosema huduma zikiwa ok kwa kweli ni moja kati ya vitu vya msingi mno, pia nimefanya research kwenye bar nyingi za hapa town na kuona challenges mbili, tatu... So i believe i can do something great! Thanks master eagle
 
Strength kubwa kwa biashara hii ni "inventory management" otherwise counter watakutafuna........fanya suprise audits kwa wingi utaona manufaiko yake! Hakikisha counter hahusiki namanunuzi pia
 
Ni kweli mkuu Safari_ni_Safari,watu wengi hushindwa kwa sababu ya kushindwa ku manage inventory, wanapigwa na watu wa counter na saa nyingine hufikia mahali hata kuuza vinywaji vyao then we ukifika unaona vinywaji havitoki na baa inawateja
 
Mkuu nimekupata in and out, kiukweli nipo so interested with it na kama ulivyosema huduma zikiwa ok kwa kweli ni moja kati ya vitu vya msingi mno, pia nimefanya research kwenye bar nyingi za hapa town na kuona challenges mbili, tatu... So i believe i can do something great! Thanks master eagle

welcom mkuu mm ndo biashara zangu na nasomesha watoto international kwasababu ya hii business nimezitega paka mikoani
 
Asanten sana kwa ujumbe mzur hata mim ndo kwanza nimepewa kaz ya umeneja so sina ujuz sana na kaz hii kwa mchango wenu nimenufakaika sana
 
Kaka nami nijuze hzo challenges walau niwe na ka Exprience
Mkuu nimekupata in and out, kiukweli nipo so interested with it na kama ulivyosema huduma zikiwa ok kwa kweli ni moja kati ya vitu vya msingi mno, pia nimefanya research kwenye bar nyingi za hapa town na kuona challenges mbili, tatu... So i believe i can do something great! Thanks master eagle
 
Sina nia ya kutambika ila ningependa kujuwa kabila lako kwanza nikushauri vizuri mimi ni mdau mkubwa sana wa hiyo kitu.
 
welcom mkuu mm ndo biashara zangu na nasomesha watoto international kwasababu ya hii business nimezitega paka mikoani

Huna pesa ya kusomesha watoto International schools, sema unasomesha English medium schools.
 
Hahahaa, kwani unamfahamu mkuu, huenda vijiada vya milioni ishirini thelathini siyo issue sana kwake! Siyo lazima ziwe shle za milioni mia kama wanazosoma watoto wa yule jirani yako pale!
 
Kweli,kwa sehemu yenye mzunguko mzuri wa watu unaweza uza bia kreti ngapi,na ni kweli kwamba ili ufanye vizuri lazima uwe na jiko pia?
 
Ila usimamizi muhimu otherwise meneja n jamaa wa counter watakuwa wanauza kreti zao mbili tatu kabla ya za kwako
 
Back
Top Bottom