Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii biashara ni nzuri kama una usimamizi mzuri.kwanza nikuambie bar ni kama mbwa anayekuwa ktk heat period anafanya midume ivuke vijiji au mitaa kadhaa imfuate vivyo hivyo kwa bar wateja si lazima wawe around the circcermumbier.cha msingi boresha huduma muhimu kama vile jiko choo kiwe safi.bar kwenye fixeds assets ndo inagharimu yan kama friji viti meza kuitengeneza counet n.k ila kama ni sehemu unakodi au hivyo vitu vipo basi kazi imekwisha kwan stock ya bar sio kubwa sana na faida ipo nzuri tu.nakushahuri tafuta wadada wazuri ila wachapa kazi wasio na malingo ya kijinga kwa wateja na kuwa na connection nzuri na Reps wa TBL na SBL kwaajiri ya kukufanyia mabonanza na mapromo waichafue bar kwa posters mwenyewe utaona.all the best
Mkuu nimekupata in and out, kiukweli nipo so interested with it na kama ulivyosema huduma zikiwa ok kwa kweli ni moja kati ya vitu vya msingi mno, pia nimefanya research kwenye bar nyingi za hapa town na kuona challenges mbili, tatu... So i believe i can do something great! Thanks master eagle

welcom mkuu mm ndo biashara zangu na nasomesha watoto international kwasababu ya hii business nimezitega paka mikoani
Huna pesa ya kusomesha watoto International schools, sema unasomesha English medium schools.
Mauzo ya siku yanaweza fika mpk milioni ngapi?