Biashara ya Barakoa na Sanitizer ni kilio tu sasa hivi

Biashara ya Barakoa na Sanitizer ni kilio tu sasa hivi

Fundi Maiko hapa kashona na anaendelea kushona barakoa za kumwaga, anasema ngojeni kidogo mtazivaa tu..!
Atasubiri sana tu, Kama vip amuulize Mke wa bill gates ni lini tutaanza kuokota maiti barabarani
 
Ila tayari jirani zenu wameshakopa na kupewa za kutosha, so pamoja na maiti kutookotwa ila ndiyo wanagongeana cheeeers, wamefanikiwa!.
Atasubiri sana tu, Kama vip amuulize Mke wa bill gates ni lini tutaanza kuokota maiti barabarani
 
Hiki ni kama kilio cha muuza majeneza.

Wakisema biashara haitoki huwa nakausha tu.
 
Wakuu Salaam;

Hii kazi ya barakoa na sanitizer imekua kilio tu saivi. Mwanzoni mambo yalikua safi, ukilala ukiamka hela hii hapa, ni tofauti na sasa hivi.

Serikali ingetoa updates za maambukizi ya Corona mara 2 au 3 hivi yenye peak nzuri tu mzigo najua ungeisha maana kipindi cha nyuma kila ikitangaza tu, mauzo na faida ni kemkem.

Sasa hivi ni kilio tu. Nilichukua barakoa 2 niwape rafiki zangu hawakupokea, wakadai wanakereka kuzivaa. Nilichoka.

Kuna hasara inataka kuninyemelea nikiona mchana kweupe. Sasa hii hasara inatakiwa kupita mbali.

Wito wangu umeshaeleweka.
Zinaumiza masikio zinavuta ujihisi comfortable
 
Back
Top Bottom