Biashara ya Barakoa na Sanitizer ni kilio tu sasa hivi

Biashara ya Barakoa na Sanitizer ni kilio tu sasa hivi

Sio kila mtu ni fursa
Kila mtu ni fursa kwa namna moja au nyingine.

Kama unaenda kazini na utahitaji usafiri au kuwahi haraka sana kwa usafiri, wewe umekua fursa kwa wenye vyimbo vya usafir

Mgonjwa ni fursa kwa hospitali

Mwanafunz ni fursa kwa shule au walimu

Mteja ni fursa kwa muuzaji

Hivyo ukinunua barakoa au kipukusi, we ni fursa kwangu.

Hence kila mtu ni fursa kutegemeana na mazingira ya wakati huo.
 
Acha na wazee wa nyungu wauze low material

Sent from my I phone
 
Acha na wazee wa nyungu wauze low material

Sent from my I phone
Sasa kuna watu tyr hii ni fursa kwao. Corona ikiisha tu tyr wanaanza jipanga upya na mapato yanaeza pungua.
Na pia waendelee kununua barakoa na sanitizer kwa wingi

Kila mtu ni fursa kwa mwenzake, ni namna unavyomkamua mtu tuu!
 
Back
Top Bottom