Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M)

👉Utengenezaji wa frame ndani na nje
(unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango kubwa pale nje jiwe 5 (laki 5),

👉bando Air conditional na Feni(M2) quality
Total cost ya huu utengenezaji jumla miti 15 na jiwe 5(15.5M)

👉Location standard Haya tuseme frame kwa mwezi jiwe mbili na kokoto unusu(laki 250) total six month ni mti mmoja na jiwe nusu(1.5M)
15.5M+1.5M=17M

👉3M unabaki kwa ajili ya kodi za serikali na kutafuta wafanyakazi wakali plus promotion+

👉Mauzo vichwa kumi kwa siku tuseme Kila kichwa ni 10k kima cha chini unafunga kilo moja (laki moja)
Jiwe moja kwa mwezi ni (miti mitatu) 3M approximately kwa mwaka ni miti 36(36M)

Malipo kwa wafanyakazi hapa tumia kanuni ya pay them in relation to their production per month (kima cha chini ni miti 3(3M) kwa mwezi basi wewe wape 10% ya production ambayo ni jiwe tatu(laki 3 kwa mwezi vinyozi jiwe mbili(laki Mbili) wadada kwa mwezi jumla mi Mti mmoja kwa mwezi ambayo mshahara kwa mwaka ni miti 12(12M mshahara tu wa wafanyakazi)

Sasa chukua mapato 36M-12M=22M

Chukua hiyo 22M(sales)-7M(expenses+purchases+kodi za serikali +plus kodi ya miezi 6 inayobaki) =15M

Kwahiyo kwa barbershop kwa mwaka utaingiza faida M5 then M10 ndo inarudi miti kumi ya kwanza uliyowekeza then miti kumi nyingine utapata mwaka unaofuata kazi kwako uzuri ni sio biashara inayotembea ipo stationary

Bonus advice 🤣weka madada waliosimama wenye mvuto, shape kali, na wawe na good customer care

👉Usafi ni kipengele muhimu sana☑️

👉Usisahau Mwisho kufanya salary motivation kama business inaenda vizuri
 
Yani u-invest 20M uje umlipe kinyozi 300k?

Vinyozi wa Barbershop yenye hizo standard inafaa kuanzia 500K per month.
Barbershop kubwa mjini kinyozi ndio anamlipa mwenye Saloon, we unatengeneza Saloon then kinyozi ila anyoe analipia let's say 20,000 kwa siku, we unapata hela kwa kinyozi ila sio mteja, kama Una viti 10 hio laki 2 kwa siku.
 
Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M)

👉Utengenezaji wa frame ndani na nje
(unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango kubwa pale nje jiwe 5 (laki 5),

👉bando Air conditional na Feni(M2) quality
Total cost ya huu utengenezaji jumla miti 15 na jiwe 5(15.5M)

👉Location standard Haya tuseme frame kwa mwezi jiwe mbili na kokoto unusu(laki 250) total six month ni mti mmoja na jiwe nusu(1.5M)
15.5M+1.5M=17M

👉3M unabaki kwa ajili ya kodi za serikali na kutafuta wafanyakazi wakali plus promotion+

👉Mauzo vichwa kumi kwa siku tuseme Kila kichwa ni 10k kima cha chini unafunga kilo moja (laki moja)
Jiwe moja kwa mwezi ni (miti mitatu) 3M approximately kwa mwaka ni miti 36(36M)

Malipo kwa wafanyakazi hapa tumia kanuni ya pay them in relation to their production per month (kima cha chini ni miti 3(3M) kwa mwezi basi wewe wape 10% ya production ambayo ni jiwe tatu(laki 3 kwa mwezi vinyozi jiwe mbili(laki Mbili) wadada kwa mwezi jumla mi Mti mmoja kwa mwezi ambayo mshahara kwa mwaka ni miti 12(12M mshahara tu wa wafanyakazi)

Sasa chukua mapato 36M-12M=22M

Chukua hiyo 22M(sales)-7M(expenses+purchases+kodi za serikali +plus kodi ya miezi 6 inayobaki) =15M

Kwahiyo kwa barbershop kwa mwaka utaingiza faida M5 then M10 ndo inarudi miti kumi ya kwanza uliyowekeza then miti kumi nyingine utapata mwaka unaofuata kazi kwako uzuri ni sio biashara inayotembea ipo stationary

Bonus advice 🤣weka madada waliosimama wenye mvuto, shape kali, na wawe na good customer care

👉Usafi ni kipengele muhimu sana☑️

👉Usisahau Mwisho kufanya salary motivation kama business inaenda vizuri
Una umri gani?
 
Malipo kwa wafanyakazi hapa tumia kanuni ya pay them in relation to their production per month (kima cha chini ni miti 3(3M) kwa mwezi basi wewe wape 10% ya production ambayo ni jiwe tatu(laki 3 kwa mwezi vinyozi jiwe mbili(laki Mbili) wadada kwa mwezi jumla mi Mti mmoja kwa mwezi ambayo mshahara kwa mwaka ni miti 12(12M mshahara tu wa wafanyakazi)
Hiyo centre unayonyoa kwa bei ya 10K sio centre ya kitoto. Hapo ni Masaki/O'bay au Posta.

Hivyo Mshahara wa kinyozi Mmoja si chini ya laki tano kwa uchache, wahudumu kila mmoja laki 3 wakiwa wawili ni laki 6.

Otherwise Barbershop iwe ya elfu 5k au 3k
 
Mimi nadhani mkuu Ata iwe location ya mabibo kimsingi tu quality iwe imenyooka, 5k sio mbaya sana Ila Sasa mwenye saloon anapaswa awe mjanja sana aongee na wadada vZuri 😁customer magnetization
 
Back
Top Bottom