Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

Biashara ya Barbershop kwa mtaji wa milion 20 inalipa sana

1741041816099.png

1741042370092.png
 
Any way njoen niwauzie chakula Cha samaki vipo, nipo Kigamboni Machava.

Jamaa anaijua finance? Tunahitaji atupe financial analysis kwenye Payback period, Annual Rate Return, Net Profit Value sikumbuk Ila ni NPV,

Nahitaji unielkeze kuhusu cash flow ya hiyo barbershop vizuri!

Mwishoni naomba financial statements ambazo ni audited za Jose saloon ama cutting master barbershop tujidhihirishe Bolotoba
mwehu tu huyo 😂🤣
 
Huu ndo mchanganuo kwa wanaotaka kufanya barbershop kwa mtaji wa miti 20(2M)

👉Utengenezaji wa frame ndani na nje
(unakuta labda furniture tu mule ndani kama miti 5 hivi (5M), tuseme labda (decoration ya jengo Mti NNE(4M) hujanunua madryer labda (2M na vifaa vingine Miti 2(2M),hujaweka bhango kubwa pale nje jiwe 5 (laki 5),

👉bando Air conditional na Feni(M2) quality
Total cost ya huu utengenezaji jumla miti 15 na jiwe 5(15.5M)

👉Location standard Haya tuseme frame kwa mwezi jiwe mbili na kokoto unusu(laki 250) total six month ni mti mmoja na jiwe nusu(1.5M)
15.5M+1.5M=17M

👉3M unabaki kwa ajili ya kodi za serikali na kutafuta wafanyakazi wakali plus promotion+

👉Mauzo vichwa kumi kwa siku tuseme Kila kichwa ni 10k kima cha chini unafunga kilo moja (laki moja)
Jiwe moja kwa mwezi ni (miti mitatu) 3M approximately kwa mwaka ni miti 36(36M)

Malipo kwa wafanyakazi hapa tumia kanuni ya pay them in relation to their production per month (kima cha chini ni miti 3(3M) kwa mwezi basi wewe wape 10% ya production ambayo ni jiwe tatu(laki 3 kwa mwezi vinyozi jiwe mbili(laki Mbili) wadada kwa mwezi jumla mi Mti mmoja kwa mwezi ambayo mshahara kwa mwaka ni miti 12(12M mshahara tu wa wafanyakazi)

Sasa chukua mapato 36M-12M=22M

Chukua hiyo 22M(sales)-7M(expenses+purchases+kodi za serikali +plus kodi ya miezi 6 inayobaki) =15M

Kwahiyo kwa barbershop kwa mwaka utaingiza faida M5 then M10 ndo inarudi miti kumi ya kwanza uliyowekeza then miti kumi nyingine utapata mwaka unaofuata kazi kwako uzuri ni sio biashara inayotembea ipo stationary

Bonus advice 🤣weka madada waliosimama wenye mvuto, shape kali, na wawe na good customer care

👉Usafi ni kipengele muhimu sana☑️

👉Usisahau Mwisho kufanya salary motivation kama business inaenda vizuri
Umeme na maji vipi?
 
Back
Top Bottom