Unawekeza wapi? Kwa huyo jamaa ama wapi?Hii sio Biashara ya mtandao ni kuwekeza capital,not selling product like those!!
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Shida watanzania tuna ugomvi na vitabuWanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania akiwasihi Watz wachangamkie biashara hii.Je ni kweli inalipa kama inavyoonesha? au ni wataalam wale wale wa kimataifa wanaendelea kupiga Watu.Tupeane uzoefu.
nasikia bitcoin moja ni Tsh more thsn 40 millionWanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania akiwasihi Watz wachangamkie biashara hii.Je ni kweli inalipa kama inavyoonesha? au ni wataalam wale wale wa kimataifa wanaendelea kupiga Watu.Tupeane uzoefu.
sasa hiv ni 1BTC ni Tshs.130Mnasikia bitcoin moja ni Tsh more thsn 40 million
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Bei za coin nyingi zimeshuka kipindi hiki BTC 1 ni around milioni 75 bei ya leo.sasa hiv ni 1BTC ni Tshs.130M