Arista
Senior Member
- Feb 25, 2018
- 138
- 103
Wanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania akiwasihi Watz wachangamkie biashara hii.Je ni kweli inalipa kama inavyoonesha? au ni wataalam wale wale wa kimataifa wanaendelea kupiga Watu.Tupeane uzoefu.