Biashara ya bitcoin loophole

Biashara ya bitcoin loophole

Arista

Senior Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
138
Reaction score
103
Wanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania akiwasihi Watz wachangamkie biashara hii.Je ni kweli inalipa kama inavyoonesha? au ni wataalam wale wale wa kimataifa wanaendelea kupiga Watu.Tupeane uzoefu.
 
Ni biashara ila sio ya kichwakichwa jisomee kwanza
 
Kulipa kwako, au wewe Kupata haimaanishi hii kitu ni viable au sustainable....

Kupanda kwake itapanda na itaendelea kupanda (why sababu watu kama wewe na wengine wana-jump into the bandwagon) ila in the long term is it going to pan out ? (the jury is still out)

If you ask me it will never replace hizi currency nyingine (governments wanataka wanapenda control) ingawa crypto na blockchain will eventually rule the world lakini crypto hizo wont necessarily be Bitcoin

Kwa kumaliza ninamu-qoute Warren Baffet
They don't reproduce, they can't mail you a check, they can't do anything, and what you hope is that somebody else comes along and pays you more money for them later on, but then that person's got the problem.
 
Ni kitu kizuri ila kua na elimu nacho. To be safe invest in Bitcoin thamani itapanda na kushuka ila in a long run you will be profitable, trading ipo complex sana.
 
Hii sio Biashara ya mtandao ni kuwekeza capital,not selling product like those!!

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Unawekeza wapi? Kwa huyo jamaa ama wapi?

Kama ni kwa mtu kuweni makini mtapigwa, ila kama ni kufungua wallet yako mwenyewe kisha unainvest basi iko sawa.

NB: Kwa thamani ya bitcoin ilipofikia si salama kuwekeza, tafuta promising digital coins zingine kama doge ambazo bado ziko chini ndizo uwekeze. Bitcoin kuna uwezekano itashuka kwanza ndipo ije ipande (wataalam wa masoko ya financial market mtakuwa mnanielewa hapa).
 
Wanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania akiwasihi Watz wachangamkie biashara hii.Je ni kweli inalipa kama inavyoonesha? au ni wataalam wale wale wa kimataifa wanaendelea kupiga Watu.Tupeane uzoefu.
Shida watanzania tuna ugomvi na vitabu
 
Wanajamvi habarini ya mchana wa Leo, samahani nauliza mwenye ufahamu au kujua hii Biashara maana nimekuwa nikikutana nayo mara kwa mara,ni jana tu nikakutana na stori ya tajiri mmoja hapa Tabzania akiwasihi Watz wachangamkie biashara hii.Je ni kweli inalipa kama inavyoonesha? au ni wataalam wale wale wa kimataifa wanaendelea kupiga Watu.Tupeane uzoefu.
nasikia bitcoin moja ni Tsh more thsn 40 million

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom