Biashara ya bodaboda imeua ndoto za vijana wengi

kuna uzi nilishaandika kuhusu bodaboda ni tatizo na litakuja kuwa bomu ila ulifutwa [emoji23]
 
Vipi kuhusu V8s
 
Pia zinaenda kuuwa kabisa Tax
 
Sas uantaka vijana wawe majambazi acha hzo mkuu

HV ulaya Kuna bodaboda au sauth Africa wapo kweli
 
Ok so wewe unawapa mbadala gani?
 
Mkuu na sisi tunaokaa mabonde kuinama na tunarudi usiku tutafika vp makwetu huo usiku?
 
Kilimo, kwa nilivyoona bei nzuri mwaka huu, kilimo kijana akikomaa miaka 2 au 3 anatoka...
Ushauri wa kisiasa huo, kuwa vijana mkajiari wakati yeye akikosa kazi analia kama ngedere badala ya kufata ushauri wake wa kujiajiri
 
Nahisi point yako haijajitosheleza jiulize swali kabla bodaboda hazijaingia nchini vijana wengi waliokuwa na elimu duni walikuwa wanafanya nini mitaa miaka ya zamani kama kumbukumbuku mnazo kulikuwa kuna uhalifu mkubwa wakuibiwa majumbani vitu kama ma tv,ma redio.........sasa imekuja bodaboda tunashuhudia wenyewe vijana wengi wameweka silaha chini na wameamua kutengeneza vipato kupitia bodaboda na jiulize kwa hali ya sasa bodaboda zisingekuwepo mtaani kungekuwa salama maana wewe umeeangalia upande wa ajali na vifo hujaangalia kuwa nchi imejitoa kwny janga gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…