Huu uzi nimeupitia, una madini mengi. Watu wameshare experience zao fresh tu. Nina swali kwa wenye uzoefu na hii biashara, mfano ninayo bodaboda na nataka kumpa dereva awe ananiletea hesabu kwa siku na boda iendelee kuwa yangu, je kuna mtu ana sample ya mkataba wa hesabu ya siku?