Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Asante Kaka, watu hawajui hi ni biashara, na simuibii mtu coz kitu bado kizima kabisa🙏Basi Kaa bila kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Kaka, watu hawajui hi ni biashara, na simuibii mtu coz kitu bado kizima kabisa🙏Basi Kaa bila kazi
Yaani tuseme umeingiza pikpki 15 leo baada ya wiki upokee pesa uanze kuhesabia kama faida aiseeeeMkuu nafanya biashara hiyo, ila siwezi wekeza kwa style hiyoo aise🤔🤔.
👉IPO siku nitawapa Siri nzito kuhusu biashara ya vyombo vya moto
Kaa tu mkuu, sijakukatalia. Ila Nina bajaji ka 3 zote namba b na ziko Bomba.Injini ya miaka nane iwe full acha uongo mm nipo kwenye bajaj mwaka wa 10
Jamaa ana kazi nzito, maana kusimamia hivi vitu Hadi vikulipe so mchezo🤔Yaani tuseme umeingiza pikpki 15 leo baada ya wiki upokee pesa uanze kuhesabia kama faida aiseeee
Sawa ahsante mnoKaa tu mkuu, sijakukatalia. Ila Nina bajaji ka 3 zote namba b na ziko Bomba.
[emoji117]Kikubwa matunzo tu kaka
Vijana wa bodaboda 15 uwapange muelewane sio mchezoJamaa ana kazi nzito, maana kusimamia hivi vitu Hadi vikulipe so mchezo🤔
Mkuu Sina habari na wewe, kwa kuwa ushanitusi. Ungetumia ustaarabu ningekupa hints how people play the game at the topSawa ahsante mno
Siri ya Bajaj nini hasa???
Kaka Mimi hawafiki hata 10 ila Musa mwingine navaa ukauzu, Kama vile sijawai pitia mihangaiko aisee.Vijana wa bodaboda 15 uwapange muelewane sio mchezo
Mkuu nimeipenda hiiNina mwaka mmoja sasa katika hii Biashara.
Mimi Huwa nawapa vijana Pikipiki mpya FEKON Kwa MKATABA Wa miezi 11 au 12. Mahesabu ni 100,000/= Kila baada ya siku 10 yaani Kwa Siku ni hesabu ya 10,000/=.
Vijana wengine sio waaminifu na kweli hamna mtu mkamilifu Kwa asilimia 100% changamoto zipo anaweza kupata dharula, ajali, kuumwa au matatizo binafsi tu. Ambayo Kwa hizo siku 10 anaweza kukuletea 60K au 70K au 80K etc ila Hamna shida Huwa naandika kama deni ambalo baadae Mkataba ukiishi naongea nae Tena mezanii.
Ni Biashara nzuri Kwa maana FEKON Moja inauzwa 2.3M Kwa Faida wewe Utapata sio chini ya 1M Kwa miezi 11 au 1.3M Kwa miezi 12. Ambayo ni sawa na faida ya 100,000/= Kwa Kila mwezi Kwa Pikipiki Moja.
Mwaka Huu nataka nijaribu Kwa kununua Pikipiki USED na nianze kuwapa vijana Pikipiki USED za 1.2M -1.5 Millions Kwa Mikataba ya miezi 7 mpka miezi 8. Ili nitengeneze Faida nyingi Kwa muda mchache na Kwa kutumia Hela ndogo badala ya kununua Pikipiki mpya ya 2.3M.
Changamoto zipo lakini usikate Tamaa, Kila Biashara inachangamoto zake.
Vijana wapo mtaani kwako ni swala la kupeana Mkataba mbele ya mashahidi wa pande zote mbili na Kwa kusainiwa na Mwenyekiti au Mjumbe Wa Kijiji/ mtaa husika.
Wajinga ndio waliwao kufa na hizo hintsMkuu Sina habari na wewe, kwa kuwa ushanitusi. Ungetumia ustaarabu ningekupa hints how people play the game at the top
Wajinga ndio waliwao kufa na hizo hints
Mkuu sijawahi kukuita, Wala kukutusi, nilishare experience yangu tu🙏🙏. Ila punguza nadharia hasi kwa maana zitakucheleweshaaWajinga ndio waliwao kufa na hizo hints
Achana nae huyo muhuniAsante Kaka, watu hawajui hi ni biashara, na simuibii mtu coz kitu bado kizima kabisa[emoji120]
Afu mtu anakazana unawafanyia dhuluma, bila ya kujua nimesimamia sheria na taratibu husika tu.Achana nae huyo muhuni
Safi sanaDaaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
Hiyo sehemu ya kuwekeza nzuri unayoifahamu ambayo unaweza wekeza 50k na kupata zaidi ya laki moja kwa mwezi ni ipi?, iweke bayana hapa Leo tuijueDaaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
Hebu share biashara yenye kuleta Faida zaidi y 100k kwa mtaji wa 2.3mil.Daaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
akipata ajali akapoteza maisha boda boda ikaharibika ni hasara ilioje, na hujasema ikiibiwa hasara na kijana akauliwa!? au hujafikiria hilo mkuuNina mwaka mmoja sasa katika hii Biashara.
Mimi Huwa nawapa vijana Pikipiki mpya FEKON Kwa MKATABA Wa miezi 11 au 12. Mahesabu ni 100,000/= Kila baada ya siku 10 yaani Kwa Siku ni hesabu ya 10,000/=.
Vijana wengine sio waaminifu na kweli hamna mtu mkamilifu Kwa asilimia 100% changamoto zipo anaweza kupata dharula, ajali, kuumwa au matatizo binafsi tu. Ambayo Kwa hizo siku 10 anaweza kukuletea 60K au 70K au 80K etc ila Hamna shida Huwa naandika kama deni ambalo baadae Mkataba ukiishi naongea nae Tena mezanii.
Ni Biashara nzuri Kwa maana FEKON Moja inauzwa 2.3M Kwa Faida wewe Utapata sio chini ya 1M Kwa miezi 11 au 1.3M Kwa miezi 12. Ambayo ni sawa na faida ya 100,000/= Kwa Kila mwezi Kwa Pikipiki Moja.
Mwaka Huu nataka nijaribu Kwa kununua Pikipiki USED na nianze kuwapa vijana Pikipiki USED za 1.2M -1.5 Millions Kwa Mikataba ya miezi 7 mpka miezi 8. Ili nitengeneze Faida nyingi Kwa muda mchache na Kwa kutumia Hela ndogo badala ya kununua Pikipiki mpya ya 2.3M.
Changamoto zipo lakini usikate Tamaa, Kila Biashara inachangamoto zake.
Vijana wapo mtaani kwako ni swala la kupeana Mkataba mbele ya mashahidi wa pande zote mbili na Kwa kusainiwa na Mwenyekiti au Mjumbe Wa Kijiji/ mtaa husika.
Kwa haraka haraka biashara ya chipsi ukipata sehemu nzuri kupata 20,000 kwa siku kama net profit ni kawaidaHiyo sehemu ya kuwekeza nzuri unayoifahamu ambayo unaweza wekeza 50k na kupata zaidi ya laki moja kwa mwezi ni ipi?, iweke bayana hapa Leo tuijue
Tatizo una imagination nyingi sana iyo ni shida yako, mi nahitaji useme hiyo sehemu nzuri na evidence piahKwa haraka haraka biashara ya chipsi ukipata sehemu nzuri kupata 20,000 kwa siku kama net profit ni kawaida