mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Bado ni biashara kichaa,pikipiki 15 mtaji wake ni zaidi ya 30m then upate faida elfu 50 wakati hata duka la Mangi lenye mtaji wa milioni 5 anaweza kupata hiyo faida ya elfu 50 kwa siku.Kwa mahesabu ya Bro hapo juu Faida ya Pikipiki Moja ni 3300/= Kwa Pikipiki 15 tu ni Faida ya 49,500/= Kwa Siku Moja tu. Kwa mwezi mzima una faida ya 1,485,000/=.
Cheers [emoji1635]
Kama nilivyosema mwanzoni ningeamua kuacha kazi na kwenda kufanya mwenyewe uraiani hizi Biashara.Bado ni biashara kichaa,pikipiki 15 mtaji wake ni zaidi ya 30m then upate faida elfu 50 wakati hata duka la Mangi lenye mtaji wa milioni 5 anaweza kupata hiyo faida ya elfu 50 kwa siku.
Chukua 30m ingiza kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi hukosi faida ya Laki 3 kwa siku
Hata mimi nimeshangaa yaani mtaji wa kuanzisha Hardware la vifaa vya ujenzi ukauchezee kununua bodabodaSasa kweli yaani pikipiki 15 ni sawa na milioni 34.5 unaona faida ya 49,500 kwa siku ni sawa kweli?!!Hapanaaa hiyo kwa hesabu za kibiashara ni hakuna kitu hapo!!
PoaUshauri wangu kwako ukifanikiwa kununua hizo pikipiki usije kujaribu kutoa kwa mkataba maana baada ya mkataba kuisha hiyo pikipiki inakuwa sio mali yako tena.
Nunua pikipiki mpe kijana awe anakuletea pesa kila siku kama ikatokea akishindwa makubaliano unachukua pikipiki yako.
Ipo hivi ukimpa mtu pikipiki kwa mkataba, kwa siku anatakiwa awe anakuletea elfu 10 na kwa kawaida mkataba huwa ni miezi 13.
Pikipiki mpya unanunua kwa mil 2.8,kwa siku unaletewa elfu 10.
Elfu 10000*30=300,000.
300,000*13=3,900,000
3,900,000-2,800,000=1,100,000
Faida yako kwa miezi 13 ni mil 1.1
Ina maana kwa mwezi unaingiza 84,615/=
Kwa siku unaingiza elfu 2,820/=
Na hapo pikipiki inakuwa sio yako tena.
Unatoa mil 2.8 ili upate faida ya 2,820 kwa siku??? Nakushauri kimbia.
Wengi wanofanya hii biashara ni wavivu na wana upeo mdogo kufikiri.
NB:nunua pikipiki ila usitoe kwa mkataba, tafuta kijana awe anakuletea pesa kila siku akishindwa unachukua chombo yako
Ni mwaka 1 chief.Ukatoa Kwa miezi mingapi ya laki8?
Mkuu Kuna kitu kinaitwa diversifying, unajua utadharau ila hi biashara naiheshimu Sana.Hata mimi nimeshangaa yaani mtaji wa kuanzisha Hardware la vifaa vya ujenzi ukauchezee kununua bodaboda
Vipi ambao wamerudishaa, ila pia wamepata na faida🤔🤔Kuna watu n mazuzu sjui wanatumiaga vitu gan kufikir Sasa Kuna biashara kichaa Kama boda boda s bora hiyo ela ununulie guta au hiece boda boda utarudisha ela yako kwa mateso Sana pengine Hata usirudishe kabisa
Mkuu duka gani la mangi anayepata faida ya 50000 kwa siku🤔🤔🤔, Mana Kuna wengine kumaliza tu mfuko wa kg25 wa unga per day ni mbindee.Bado ni biashara kichaa,pikipiki 15 mtaji wake ni zaidi ya 30m then upate faida elfu 50 wakati hata duka la Mangi lenye mtaji wa milioni 5 anaweza kupata hiyo faida ya elfu 50 kwa siku.
Chukua 30m ingiza kwenye biashara ya vifaa vya ujenzi hukosi faida ya Laki 3 kwa siku
Mkuu toa kwa mkataba ili kurpuka baadhi ya Mambo 👉
mkuu biashara ya boda boda n Kama Una bet huo ndo ukweliVipi ambao wamerudishaa, ila pia wamepata na faida🤔🤔
Japo napendelea bajaji, ila boda zinalipa pia.mkuu biashara ya boda boda n Kama Una bet huo ndo ukweli
Trust meAcha utani
Nina mwaka mmoja sasa katika hii Biashara.
Mimi Huwa nawapa vijana Pikipiki mpya FEKON Kwa MKATABA Wa miezi 11 au 12. Mahesabu ni 100,000/= Kila baada ya siku 10 yaani Kwa Siku ni hesabu ya 10,000/=.
Vijana wengine sio waaminifu na kweli hamna mtu mkamilifu Kwa asilimia 100% changamoto zipo anaweza kupata dharula, ajali, kuumwa au matatizo binafsi tu. Ambayo Kwa hizo siku 10 anaweza kukuletea 60K au 70K au 80K etc ila Hamna shida Huwa naandika kama deni ambalo baadae Mkataba ukiishi naongea nae Tena mezanii.
Ni Biashara nzuri Kwa maana FEKON Moja inauzwa 2.3M Kwa Faida wewe Utapata sio chini ya 1M Kwa miezi 11 au 1.3M Kwa miezi 12. Ambayo ni sawa na faida ya 100,000/= Kwa Kila mwezi Kwa Pikipiki Moja.
Mwaka Huu nataka nijaribu Kwa kununua Pikipiki USED na nianze kuwapa vijana Pikipiki USED za 1.2M -1.5 Millions Kwa Mikataba ya miezi 7 mpka miezi 8. Ili nitengeneze Faida nyingi Kwa muda mchache na Kwa kutumia Hela ndogo badala ya kununua Pikipiki mpya ya 2.3M.
Changamoto zipo lakini usikate Tamaa, Kila Biashara inachangamoto zake.
Vijana wapo mtaani kwako ni swala la kupeana Mkataba mbele ya mashahidi wa pande zote mbili na Kwa kusainiwa na Mwenyekiti au Mjumbe Wa Kijiji/ mtaa husika.
Bro shukrani Kwa ushauri, naomba nifahamishe vzuri jinsi ya kununua Pikipiki mpya kama FEKON, Boxer, sunray Kwa mawakala Wa Pikipiki nchini.Mkuu usinunue pkpk used ni vichomi kinyama
Nunu fremu weka engine mpyaa hivyo utafanikiw na unawez tumia kiac cha 1M had 1.5 ukawa na pkpk mpyaaa
Nipe connection za mawakala Wa Pikipiki if possible, maana nasikia wanauza Kwa Jumla Kwa idadi ya pic's wanazotaka wao.Mkuu usinunue pkpk used ni vichomi kinyama
Nunu fremu weka engine mpyaa hivyo utafanikiw na unawez tumia kiac cha 1M had 1.5 ukawa na pkpk mpyaaa
Sina uzoefu sana ila jarbu kufata hatu hiziBro shukrani Kwa ushauri, naomba nifahamishe vzuri jinsi ya kununua Pikipiki mpya kama FEKON, Boxer, sunray Kwa mawakala Wa Pikipiki nchini.
Nahitaji kufungua fremu/duka nianze kuuza Pikipiki mpya.
Taja uwekezaji wenye afya sawa na mtaji wenye thamani sawa na bodaboda.Daaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
Ukifunga fremu ya Pikipiki na kuweka engine mpya utaitoa Kwa MKATABA au inakuwa Mali yako ya kutembelea.Sina uzoefu sana ila jarbu kufata hatu hizi
Nenda kwa super dila
Mwambie unahitaji kuw Agent wa pikpk za kampun yake then atakupa vigezo ambavyo ukitimza nazan utafanikiwa
Mwaka jan nilibiw pkpk zangu 2 nilzokuw natafutia kipato sasa nikanunua pkpk moja SANLG ikanisumbua gafla nikauza
Mwaka huu nimenunua Boxer kijola January had sasa ishameza laki 2 na huu mwak n mgumu kwangu
Nmekuja na wazo jipya nawez kuuzia wew hili wazo
Kwasasa nitanunua fremu za pkpk ambazo nanunua mimi nakagua bodi tuu (najua bei yake haiwez vuka lak 3 - 6 kulingan na bodi ilivyo na hali ya vifaa vingne kasoro engine then na nunua engine mpya 500,000 had 700,000 naweka hapo maisha yanaendalea.