Ukifunga fremu ya Pikipiki na kuweka engine mpya utaitoa Kwa MKATABA au inakuwa Mali yako ya kutembelea.
Sawa hebu tuendelee kupambana nawaza Biashara ya kuuza au kutoa Kwa MKATABA Pikipiki mpya na used na hapohapo kuwe na Duka la spea za Pikipiki zote pamoja na bajaji.Vyovyote vle wajina
Anza taratbu kk, mimi mwaka huu nimefulia san mambo hayaendSawa hebu tuendelee kupambana nawaza Biashara ya kuuza au kutoa Kwa MKATABA Pikipiki mpya na used na hapohapo kuwe na Duka la spea za Pikipiki zote pamoja na bajaji.
Mtaji ndio unaweza kuwa changamoto Kwa Pikipiki mpya.
Sawa nitajarbu taratibuAnza taratbu kk, mimi mwaka huu nimefulia san mambo hayaend
Nyie ndo wale motivation speaker kaz yenu kubwabwaja tu Lima matikiti heka sjui nn ingieni field kwa vitendo unakuta ata boda boda hujui ata kuziba panchaJapo napendelea bajaji, ila boda zinalipa pia.
👉Vipi ushawai fanya, au unasikia kwa watu🤔
👉Kama ndio, ni changamoto zipi zilikukumba.
👉Kufeli kwako, unahisi na wengine itakuwa hivyo??
👉Vipi Kama waki/tukiboresha mbinu na mikakati ili kuendana na changamoto zilizopo🤔🤔
👉 Never say it's impossible coz the word it's self says I'm possible
Mkuu ni sawa Kama inakupa nafuu, ila hatupo hapa kushindana. Ila trust the processNyie ndo wale motivation speaker kaz yenu kubwabwaja tu Lima matikiti heka sjui nn ingieni field kwa vitendo unakuta ata boda boda hujui ata kuziba pancha
Si bora ungenunua hata coaster ukawa unalaza hata 80k au lakiSawa bro hebu nisaidie Biashara ya mtaji ya 30M unatakiwa kupata Faida ya kiasi Gani? Na REJESHO La per day unatakiwa kupata kiasi Gani?
Maana hapo Mimi nilianza na mtaji Wa 9M ndio ukafikia hapo kutoka Pikipiki 4 za kuanzia mpka kufika 15.
Hebu nyie watu Wa UCHUMI au BIASHARA mnisaidie hapa Biashara ya 30 millions inatakiwa kuingiza kiasi/ Faida gani per day?
Mkuu mbona bado ndogo, imagine Kuna mtu Ana bajaji namba b 5 na alinunua 1.7 Kila 1. Leo hi anakunja 20 per each ×5 SI ni laki 1 hiyooSi bora ungenunua hata coaster ukawa unalaza hata 80k au laki
Kwa Bajaj nakubali ila pikipiki hamnaMkuu mbona bado ndogo, imagine Kuna mtu Ana bajaji namba b 5 na alinunua 1.7 Kila 1. Leo hi anakunja 20 per each ×5 SI ni laki 1 hiyoo
Makasiriko ya nini mkuu!!mwenye ka bucha tu ka nyama mwenye mtaji wa kg 20 tu ambazo gharama yake ni 110,000,akiuza kwa 8000 tu kwa kilo anapata 160,000 hapo faida yake 50,000 kwa siku tena mapema tu!!!eti mtaji wa 2.3 milioni kupata 3300/ =au mtaji wa milioni 34. Kupata 49,500 kwa siku ni haki sio sawa hata kidogooo!!jipeni moyo tu.Taja uwekezaji wenye afya sawa na mtaji wenye thamani sawa na bodaboda.
Kama hakuna kaa kimya
Bajaji ya 1.7 milioni?!?au mimi ndio sielewi?!!Mkuu mbona bado ndogo, imagine Kuna mtu Ana bajaji namba b 5 na alinunua 1.7 Kila 1. Leo hi anakunja 20 per each ×5 SI ni laki 1 hiyoo
Uzuri wa gari hata kama unapata laki moja kwa siku,bado itaendelea kuwa ni mali yako hata baada ya miaka 3 inakuwa imesharudisha pesa yako,na bado ukiiuza utapata pesa nzuri tu.Tofauti na hizi pikipiki na bajaji zimapokuwa za mkataba baada ya mwaka inakuwa mali yake au kwa bajaji miaka 2 inakuwa yake.Hapo ndipo kwenye utofauti.Mkuu mbona bado ndogo, imagine Kuna mtu Ana bajaji namba b 5 na alinunua 1.7 Kila 1. Leo hi anakunja 20 per each ×5 SI ni laki 1 hiyoo
Kwahiyo pkpk 15 zenye thamani ya 2.3mil x 15 = 34.5 milioni. Kwahiyo milioni 34.5 inaleta faida ya 3300 x 15 = 49,500 Kwa siku!??, Na bado Kuna watu hapa wanaona ni biashara nzuri pamoja na risk zilizozunguka biashara hii.. Ukiwa na pikipiki 15 zinazoleta 49,500 Kwa siku. Pkpk moja ikaibiwa au kupata ajali,Ina maana umepoteza 2,300,000 /49,500 = 46. Umepoteza faida ya pkpk 15 Kwa siku 46. Hii biashara inalipa kama utaendesha mwenyewe FULL STOP 🛑. Kinyume na hapo ni ukichaa.Kwa mahesabu ya Bro hapo juu Faida ya Pikipiki Moja ni 3300/= Kwa Pikipiki 15 tu ni Faida ya 49,500/= Kwa Siku Moja tu. Kwa mwezi mzima una faida ya 1,485,000/=.
Cheers [emoji1635]
Mkuu bajaji namba b, ambayo ni used.Bajaji ya 1.7 milioni?!?au mimi ndio sielewi?!!
Kweli hiyo bajaji si itakuwa CHOMBO YA FUNDI??saa moja kijiweni ,masaa 11 gereji?yaani ktk vyombo vya usafiri ambavyo havidumu ni bajaji!!tena ukute inafanyia kazi kwenye rough road miaka miwili kwisha habari!!Mkuu bajaji namba b, ambayo ni used.
Sasa mkuu ilinunuliwa kwa 1.7m, rejesho la 20 per day kwa zaidi ya miezi 15= haya faida umeijua tayariKweli hiyo bajaji si itakuwa CHOMBO YA FUNDI??saa moja kijiweni ,masaa 11 gereji?yaani ktk vyombo vya usafiri ambavyo havidumu ni bajaji!!tena ukute inafanyia kazi kwenye rough road miaka miwili kwisha habari!!
Betting,na hata kama umerudisha na faida juu usigande kwenye hiyo biashara badilisha hiyo biashara haraka iwezekanavyo,ukijifanya una top up kukuza mradi wa bodaboda ipo siku itakubadilikia hutoamini macho yake.Vipi ambao wamerudishaa, ila pia wamepata na faida[emoji848][emoji848]