mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
kuna mda nlikua namu-idolize elon musk mpaka nikawa na ndoto nije kua the first dollar trillionaire, kwa kutengeneza njia ya kwenda kuchimba madini space 😂Una angalia motivation videos, mpaka una kariri story zao😂😂
👉Una Anza kuwakera mpaka you tube, kila saaa how to get rich early 😂😂
👉Una Google mpaka jinsi ya kuokota hela