Biashara ya Bodaboda

Biashara ya Bodaboda

Nimeona, ila usisahau musk alitoka kuuza kampuni yake.
👉Na wao walihitaji muwekezaji, company ilianzishwa 2003-2008- alipoamua musk kuongoza.💪
👉Wao walikuwa na wazo ila walishindwa kuendelea. Na ndo Mana walimuuzia. Wakahamia utengenezaji wa even batteries
kama nilivosema, kuna mambo mengi.... ninachojaribu kukuambia ni kwamba kama untaka kufika level a hao majamaa kuna vitu vingi vibaya lazima ufanye, utakua ukikinzana na dhamira yako....
 
kama nilivosema, kuna mambo mengi.... ninachojaribu kukuambia ni kwamba kama untaka kufika level a hao majamaa kuna vitu vingi vibaya lazima ufanye, utakua ukikinzana na dhamira yako....
Kaka ntakupinga kwa musk, Kumbuka alinunua hisa kidogo 2003,
👉2008 kampuni ilipata financial crisis ndo akaamua kununua kiasi Kikubwa ili auchukue u ceo.
👉Akafanya changes ili kuboresha na kupunguza spending. What the problem happo🤔🤔
 
Namkubali Sana, amepingwa na matajiri wengi mfano bill gates, Charlie munger, Warren buffet but still tupo kule 🔥🔥
Jamaa yuko vizuri sema ndo ile sijui tuseme kujimwambafai kumezidi

Largest companies by categories (highest market cap):

🇺🇸 Auto → Tesla
🇨🇳 Airline → Air China
🇺🇸 Aircraft → Boeing
🇺🇸 Bank → JPMorgan
🇨🇳 Beverage → Kweichow
🇬🇧 Chemical → Linde
🇫🇷 Clothing → Louis Vuitton
🇫🇷 Construction → Vinci
🇺🇸 Courier → UPS
🇺🇸 Ecom → Amazon
 
Mzee wa kupambania, ni boxer, njoo ubebe mlima wa udzungwa 😂😂
Elon Musk’s journey:

Age 51: buys Twitter, becomes CEO
Age 45: starts Boring Co
Age 45: starts Neuralink
Age 44: starts OpenAI
Age 32: buys Tesla
Age 30: starts SpaceX
Age 28: starts X (becomes PayPal)
Age 24: starts Zip2 (sold to Compaq)
Age 19: sells PC’s in college dorm
 
Daaaa!!Kweli ni hatari yaani mtaji wa 2.3 milioni ikuletee faida ya tsh.100,000 kwa mwezi sawa na tsh.3300 kwa siku?!!!! Hapana ni uwekezaji usio na afya kabisa!!! Hiyo faida hata mwenye mtaji wa 50000 anaweza pata mala tatu yake kama amewekeza sehemu nzuri.Hata bajaji ni uwekezaji usio na afya kabisa,
Ndio maana tunashindwa kushindana na wahindi na wachina. Wenzetu hiyo faida ya 3000 kwa siku ni nyingi mno na kwa kuwa wana nidhamu ya biashara wanafanikiwa sana.
 
Back
Top Bottom