RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,018
- 5,752
Jeshin unaitwa NANGAMnaojifanya mnajua mbona hamna ata m1 alieposti uzi 😂, uzi wa watu ndo mmekua wote wajuaji ,ila ktk wote naona kidogo ww una idea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshin unaitwa NANGAMnaojifanya mnajua mbona hamna ata m1 alieposti uzi 😂, uzi wa watu ndo mmekua wote wajuaji ,ila ktk wote naona kidogo ww una idea.
Lakn dogo huwez kuwa tajr Kwa kuendesha gari jiongeze ELEWA NEO JIONGEZEIo lazima ,ukifuata sheria Tanzania utajiri utackia kwa wenzako tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jeshin unaitwa NANGA
Mimi siendishi gari na wala cjui kuendesha gari, mimi niko nawafanyia hesabu zao tuLakn dogo huwez kuwa tajr Kwa kuendesha gari jiongeze ELEWA NEO JIONGEZE
Kama Uzi search humu zipo nyingi sana au we mgeni humuMnaojifanya mnajua mbona hamna ata m1 alieposti uzi [emoji23], uzi wa watu ndo mmekua wote wajuaji ,ila ktk wote naona kidogo ww una idea.
Hamna mtu humu...n wale madogo wanapewa key za bolibo anajua na yeye n master bolibo...sku akijaa gaming board watauza mashamba yote..M1 million au nn? Unaomgelea mdogo angu?
Hapo kwenye hesabu uongo sema unapanga token na kutafuta site dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi siendishi gari na wala cjui kuendesha gari, mimi niko nawafanyia hesabu zao tu
Hakuna uzi ata mmoja, unaoelezea biashara ya bonanza humuKama Uzi search humu zipo nyingi sana au we mgeni humu
Basi Kama huaminiHapo kwenye hesabu uongo sema unapanga token na kutafuta site dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wale migambo wanao tangulizwa mbele kwenye vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna mtu humu...n wale madogo wanapewa key za bolibo anajua na yeye n master bolibo...sku akijaa gaming board watauza mashamba yote..
Zipo dogo search vzur tu sema keyword ya nyuzi hzo ndo tatzo lakn zpo nyng tuHakuna uzi ata mmoja, unaoelezea biashara ya bonanza humu
Mtu mwenyew kajiunga jf leo...atajua nn anajua yupo fb...Zipo dogo search vzur tu sema keyword ya nyuzi hzo ndo tatzo lakn zpo nyng tu
Dpk akuna mchina anaepgiwa hesabu labda ww useme Huwa mnatembea wa3 kwenye gari ww unapanga token na kutafuta site na kusolve misala ikitokea lkn hawawez kukuajr et Kaz Yako kupanga token tu NEVERBasi Kama huamini
Hahaha unajuaje km mmejiunga Leo 😂,ww mshamba hujui kuwa unaeza kutengeneza ata account kumi kweny social mediaMtu mwenyew kajiunga jf leo...atajua nn anajua yupo fb...
Silazimishi mtu kuamini, uo mtazamo wako lkn uo ndo uhalisia niliosemaDpk akuna mchina anaepgiwa hesabu labda ww useme Huwa mnatembea wa3 kwenye gari ww unapanga token na kutafuta site na kusolve misala ikitokea lkn hawawez kukuajr et Kaz Yako kupanga token tu NEVER
Kwel hela ipo lakni jitahidi kuchunguza vzuri utaelewa vingi ZaidSilazimishi mtu kuamini, uo mtazamo wako lkn uo ndo uhalisia niliosema
Unajua wanalipa asilimia ngap? Kwa mwenye kampuni Kila mwezi?Siku nikiacha kazi kwa Hawa jamaa nitaonesha document za kuprove faida wanazopata kila mwezi, hlf tuwaone sasa mnakomenti tena, nione mtasemaje.
Io sijuiUnajua wanalipa asilimia ngap? Kwa mwenye kampuni Kila mwezi?